bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,326
Hii si tafsiri ya ndoto bali ni ndogo nyingine (day dreaming)Maana ya ndoto hii ni tafsiri ya kweli ya maisha halisi ya usiku wa Leo.
Ni kweli hakuwa mjusi angekuwa mjusi hasingepotea baada ya Mimi kufuata ufagio ili nimuondoe dirishani,maana mjusi wa kawaida Hana utambuzi au muunganiko na hisia za mwanadamu ili kujua dhamira yako.
So ilikua ni real spiritual battle Hawa wapumbavu nimewapelekea moto sana usiku wa Leo wakakusanyanya.
Maana ya ndoto hii baada ya kuwapeleka moto walikusanyana wakanibeba ili wanipeleke kwenye ng'ome Yao yaani kuzimu ndo maana ya lile shimo then ule msalaba niliouona shimoni maana yake ni nguvu ya Yale maombi yangu yaani ule moto niliowapelekea msalaba means Yesu Kristo.
Kuni umaanisha kundi la wachawi,
Msalaba unamaanisha ushindi dhidi ya nguvu za Giza.
Gari ile kenta ilikua ni ungo wao yaani wamekubeba mateka nilipochungulia shimoni nikamuona Yesu.
Shimo lenye Giza maana yake ni kuzimu au ng'ome za wachawi au mazizi Yao wanapowekea watu wao baada ya kuwateka kiroho wakishakukamata kiroho ndio wanakuua kimwli kupitia vitu Kama ajali,kujiua,nk
Hizi elimu ndogo Sana kwenu nyie atheist, Connect mjusi na ulichokiota.Kuna mjusi na Kuna antenna ishia hapo hapoYaani mjusi tu anakutoa roho.
Mengine mnamsumbua tu Bwana.
Aijalishi ni daydream au night dream kila ndoto Ina maana yakeHii si tafsiri ya ndoto bali ni ndogo nyingine (day dreaming)
Msiwe na imani ndogo hivyo.Hizi elimu ndogo Sana kwenu nyie atheist, Connect mjusi na ulichokiota.Kuna mjusi na Kuna antenna ishia hapo hapo
Thus siku zote Huwa nawashinda Hawa wapumbavu, Kupitia the power of positivity.Msiwe na imani ndogo hivyo.
Mkuu! Tafsiri bado imepwaya! Kwanza hao (wachawi) wamefanikiwa kukutumikisha kubeba kuni kujaza kenta. Walikuwa wamekupakiza kwenda kuzishusha! Una nguvu kidogo iliyokuwezesha kuona kinachoendelea na kuamua kushinda usipelekwe zinakoenda kizishusha! Ongeza juhudi pale unapopatia nguvu za rohoni! Maombi tu bila connection ya madhabau ya kuchochea nguvu ni kama fen inayokupuliza ndani ya chumba kilichofungwa madirisha na mlango!Maana ya ndoto hii ni tafsiri ya kweli ya maisha halisi ya usiku wa Leo.
Ni kweli hakuwa mjusi angekuwa mjusi hasingepotea baada ya Mimi kufuata ufagio ili nimuondoe dirishani,maana mjusi wa kawaida Hana utambuzi au muunganiko na hisia za mwanadamu ili kujua dhamira yako.
So ilikua ni real spiritual battle Hawa wapumbavu nimewapelekea moto sana usiku wa Leo wakakusanyanya.
Maana ya ndoto hii baada ya kuwapeleka moto walikusanyana wakanibeba ili wanipeleke kwenye ng'ome Yao yaani kuzimu ndo maana ya lile shimo then ule msalaba niliouona shimoni maana yake ni nguvu ya Yale maombi yangu yaani ule moto niliowapelekea msalaba means Yesu Kristo.
Kuni umaanisha kundi la wachawi,
Msalaba unamaanisha ushindi dhidi ya nguvu za Giza.
Gari ile kenta ilikua ni ungo wao yaani wamekubeba mateka nilipochungulia shimoni nikamuona Yesu.
Shimo lenye Giza maana yake ni kuzimu au ng'ome za wachawi au mazizi Yao wanapowekea watu wao baada ya kuwateka kiroho wakishakukamata kiroho ndio wanakuua kimwli kupitia vitu Kama ajali,kujiua,nk
Sikubebeshwa kuni Wala kupakia Kuni bali nilikaa juu ya Kuni.Mkuu! Tafsiri bado imepwaya! Kwanza hao (wachawi) wamefanikiwa kukutumikisha kubeba kuni kujaza kenta. Walikuwa wamekupakiza kwenda kuzishusha! Una nguvu kidogo iliyokuwezesha kuona kinachoendelea na kuamua kushinda usipelekwe zinakoenda kizishusha! Ongeza juhudi pale unapopatia nguvu za rohoni! Maombi tu bila connection ya madhabau ya kuchochea nguvu ni kama fen inayokupuliza ndani ya chumba kilichofungwa madirisha na mlango!