ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,635
- 90,030
Maendeleo ya watu vs vitu inamaanisha nini hasa? Maana huenda tunalilia maendeleo ya watu lakini hata hatuelewi ina maana gani.Barbosa umerudi pale pale. Kwenye maendeleo ya vitu si watu. Hawa wamepigana vita na ndugu zao wa eritrea kwa muda mrefu... licha ya hivyo ni mwakajana ndio wamepata.. thanks to waziri mkuu mpya.
According to report moja ya shirika. Kinacho waondoa ethiopia nyumban ni ukosefu wa ajira.. hali yao ya ajira ni mbaya kuliko yakwetu.. wasom ni wengi sana ajira hakuna, gharama za maisha zimepanda haswa kuliko kawaida. Hali inayopelekea wengi kushindwa kumudu.
Ndio nchi ina miundo mbinu mizur lakin uchumi wa wananchi ni mbaya..
Ndicho kinacho watoa kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app