Tafsiri ya maendeleo: Ethiopia imepiga hatua kubwa lakini wananchi wake ndio wanaongoza kukimbia nchi

n
Hata nyumbani kwenu kuwe kuzuri aje au kuwe
na utajiri mkubwa vipi,Kama hakuna Uhuru hata
wa kuturahi,kuongea
Basi watoto watakimbia.
Lakin pia Ethiopia imeharibiwa na kuwekeza
katika vitu na si ktk watu. Taifa lina ndege lina
flyover lakin watu ni masikini.
Lazima watakimbia tu
nashindwa kuelewa fly over inakuwaje kigezo cha maendeleo mnieleweshe mwenzenu
 
Hakuna Nchi kama Tanzania barani Afrika na Mzee anaenda kuitwaa heshima tulio ipoteza kwa miaka mingi Trust me.

Binafsi ata kama naenda njee ntaenda ili nipate kianzio cha kujenga Nchi yangu.

Na hakuna Nchi Duniani yenye fulsa kama Tanzania.

Hii yote ni kwasababu tumepata mtu ambae nafsi zetu zili muhitaji kwa miaka na miaka, japo miili yetu imeshiba Uvivu ( DHAMBI ), Shortcut, Starehe kupita kiasi na UJUAJI wa hovyo.

Mimi kama Mtanzania nilie tokea chini kabisa kwa shida nyingi, binafsi naona NURU kubwa kuwa na Namba one kama huyu, kwasababu mchana au Usiku ndoto yake ni Tanzania ilio na USAWA.

1. Elimu ( Veta, Tbc Taifa na Youtube )

2. Bidii katika Kazi, ( Ukiwa na Bidii hata muda wa kutumia unakosa )

3. Tulipe kodi. Kodi ni kila kitu na pia ina fulsa za aina yake na ni nzuri kwa ustawi wako.

Binafsi namuelewa sana Dr Mwl Baba na ndugu Mh Rais wa awamu ya tano. Mungu akupe Maisha marefu sana hakuna kama wewe binafsi sina zawadi ya kukupa zaidi ya kuwa Mwananchi Mzalendo na mpenda Amani.

Ki strategy Tanzania huwezi kulinganisha na Ethiopia. Nchi nyingi za Afrika zilikosa Strategy baada ya Tanzania kuyumba. Tanzania ni kioo cha Afrika na Mh Rais wa awamu ya tano ni kioo cha Dunia japo ni mwiba mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo vema yakawa na uwiano kwenye kila nyanja, kwenye kila sekta kwenye kila nyenzo.... Kuanzia afya, lishe, uchumi, biashara, ajira, haki ya kujieleza, haki ya kutambulika, haki za binadamu, miundombinu, matibabu kilimo, ufundi,elimu, shughuli za ubunifu, uzalendo, utaifa.... Nknk.... Kusiwepo na kubaguana, kusiwepo na kutishana, kutesana, kutiana vilema, kuumizana visasi na kuviziana....

Jr
 
Siasa pembeni, vyama tupa kule.... Hivi vitapita lakini Tanzania ya Watanzania itakuwepo... Kwahiyo ustawi wa nchi kama taifa huru na wananchi wake ni muhimu kuliko kingine chochote kile... Ndio USTAWI wa nchi na USTAWI wa WANANCHI... kimoja kisizidi kingine... Itakuwa sawa na kupamba makaburi kwa gharama kubwa kumbe kilichofutikwa chini ni uvundo

Dhana ya maendeleo ionekane kwa watu na vitu , ionekane kwa uwiano wa kikanda na maeneo yote ya nchi... Kila mmoja apate anachostahili kupata... Malalamiko yasiwe mengi, uonevu na kupunjwa... Unafiki na ndimi mbili kama kinyonga.... Dhana ya maendeleo ni pana kuliko tunavyoihubiri majukwaani
Tusipozingatia haya tutakuwa kama Ethiopia... Wenzetu wamewekeza kwenye miundombinu na miradi mikubwa mikubwa.... Wakawasahau wananchi wa kawaida
Watoto ni utapiamlo
Vijana wanakimbia nchi
Wazee wanakufa
Ni kilio na sononi kila mahali.. Lakini taifa linang'ara kwa miundombinu na takwimu za uchumi kupaa... Wamefutika uvundo kwenye makaburi yapendezayo machoni kutazama....
Maelfu ya vijana wa kihabeshi wanakimbia nchi yao inayopaa kimaendeleo wengi hawafiki waendako hufia njiani kwa mateso ya kukosa hewa wakiwa wamejazwa kwenye makontena.... Maiti zao hutupwa.. Hawazikwi kwa heshima... Hawapati muda wa kuagana na wapendwa wao.... Hufa na kuzikwa kama wanyama
Maendeleo ni dhana bora lakini
Yasiwe na makengeza
Yasiwe mbilikimo
Yasiwe na ubaguzi... Huyu mupe yure muruke
Yasiwe na mizania tege
Yasijae majigambo na kujisifu kwingi
Yasiwe na agenda zilizofichama ndani yake..... Haya ndio maendeleo tuyatakayo....

Jr
Kuna utofauti mkubwa kati ya kujenga nchi na kujenga taifa. Viongozi na watawala wengi wanahangaika kujenga nchi badala ya taifa. Taifa lililojengwa imara hujenga nchi lenyewe na nchi ikapaa kiuchumi. Ukijenga nchi bila taifa kwanza ujue baadaye utairudia hiyo kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana jr wewe ni Kaka kwangu, naku heshimu sana kwasababu wewe ni moja katika Watu walio nikuza kifikra.

Tatizo lako Kaka kutokua MKWELI hasa katika awamu hii, na ili linatokana Umelipa nafasi TUMBO kuliko kitu chochote.

Katika kuweka USAWA wote wa Kitaifa kuna Watu wataona wameonewa au wemetishwa au pengine hata wametekwa hii yote ni kuchafua Serikali ili isifikie lengo kwa maslahi yao.

Binafsi yote ulio gusia mpaka sasa, utatuzi wake umefanyika kwa kiwango kikubwa sana na yana onekana.

Afya Serikali ya awamu ya tano imepiga hatua kubwa na kuongeza zahanati karibu kila kataa ikiwemo kuimarisha Afya kuhakikisha Maji yana patikana na Miradi mikubwa ya Maji kama ule mradi wa Arusha na mingineo.

Serikali ya awamu ya tano kupitia Wataalam na vyuo vya Kilimo kama SUA, wanatoa taarifa kila kukicha kuhusu kilimo ni wewe na ufatiliaji wako. kama hiyo haitoshi wapo mabwana Shamba wengi mpaka kwenye mitandao ya kijamii

Uchumi, Unazungumnzia Mabarabara, Ndege na n.k hapo kwa Awamu ya tano ndio mahali pake haswa siwezi kuongelea.

Biashara ndio inaenda kwenye Usawa haijawahi kutokea katika hii Nchii, Nimeshuhudia watu waki ondoka kweli kwenye Biashara na ni watu wa Mataifa mbalimbali lakini wote nilio shuhudia, walikuwa wajanja janja japo nilipata faida kuchukua Mzigo kwao ila sikupenda kwa sababu mimi ni Mtanzania Mzarendo.

Ajira.. Kaka kiukweli unaanza kuzeeka, Ajira zilivyo nyingi Tanzania mpaka ndugu zetu wa Afrika Mashariki vijana wanatamani wangezaliwa Tanzania bado uoni? Kweli TUMBO kina njaa mbaya.

Tatizo nguvu kazi wengi ni WAVIVU na si WASTAHIMILIVU na SHORTCUT nyingi za kipuuzi katika Maisha yao.

Haki ya kujieleza.. Si ndio hivi unajieleza au Haki ipi unazungumnzia kaka? Kutukana Viongozi? au kuona wenzio Wajinga na si lolote kwako?

Ni naomba niishie hapa ila kiukweli kabisa una zeeka vibaya Kaka Mshana jr, Serikali hii iko Imara sana. Magufuli yalivyo wekwa kwenye Rasilimali za Taifa kisiwe chanzo cha kufikiri kwa Kutumia Tumbo.

Huna unacho kijua tulia fanya kinacho ipa familia yako Amani na Utulivu.. Leo unaweza kuona kwa akili zako ndogo anakosea kesho ukawa na akili kama yangu Ukapiga Makofi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n
nashindwa kuelewa fly over inakuwaje kigezo cha maendeleo mnieleweshe mwenzenu
Serikali ina kazi sana, binafsi hata siku moja sita taka Urais wala kuwa Kiongozi yoyote ntabaki kuwa mlipa kodi mtiifu only.

Nimeamini Ukiwa Kiingozi ni kiongozi wa wote mpaka wale wa jalalani, Mtu kama huyu naona kama kalala usingizi mzito sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikosea kufafanua kuwa ni kwa ukanda wetu huu... I mean nchi majirani.... Nimetoa mfano wa makaburi je umenielewa? Kuna India pia wana mpaka satellite lakini tunaona umaskini uliopo kule.... Labda tu ieleweke kuwa hapa tunaandika makala fupi na si vitabu hivyo ni vigumu kuandika kila kitu lakini kadiri post inavyoendelea kuwa hai ndio ufafanuzi na ya ziada hujumuishwa
Kuhusu maendeleo ya vitu na watu, gap haitakiwi kuwa kubwa ili kuleta uwiano sawia.... Asante View attachment 997976

Jr
Mkuu huku sio kutumiwa na mabeberu kweli!sasa si hata bila kapicha tungeelewa tuu.kua mzalendo mkuu.teheteheee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa pembeni, vyama tupa kule.... Hivi vitapita lakini Tanzania ya Watanzania itakuwepo... Kwahiyo ustawi wa nchi kama taifa huru na wananchi wake ni muhimu kuliko kingine chochote kile... Ndio USTAWI wa nchi na USTAWI wa WANANCHI... kimoja kisizidi kingine... Itakuwa sawa na kupamba makaburi kwa gharama kubwa kumbe kilichofutikwa chini ni uvundo
Maendeleo vema yakawa na uwiano kwenye kila nyanja, kwenye kila sekta kwenye kila nyenzo.... Kuanzia afya, lishe, uchumi, biashara, ajira, haki ya kujieleza, haki ya kutambulika, haki za binadamu, miundombinu, matibabu kilimo, ufundi,elimu, shughuli za ubunifu, uzalendo, utaifa.... Nknk.... Kusiwepo na kubaguana, kusiwepo na kutishana, kutesana, kutiana vilema, kuumizana visasi na kuviziana....
Dhana ya maendeleo ionekane kwa watu na vitu , ionekane kwa uwiano wa kikanda na maeneo yote ya nchi... Kila mmoja apate anachostahili kupata... Malalamiko yasiwe mengi, uonevu na kupunjwa... Unafiki na ndimi mbili kama kinyonga.... Dhana ya maendeleo ni pana kuliko tunavyoihubiri majukwaani
Tusipozingatia haya tutakuwa kama Ethiopia... Wenzetu wamewekeza kwenye miundombinu na miradi mikubwa mikubwa.... Wakawasahau wananchi wa kawaida
Watoto ni utapiamlo
Vijana wanakimbia nchi
Wazee wanakufa
Ni kilio na sononi kila mahali.. Lakini taifa linang'ara kwa miundombinu na takwimu za uchumi kupaa... Wamefutika uvundo kwenye makaburi yapendezayo machoni kutazama....
Maelfu ya vijana wa kihabeshi wanakimbia nchi yao inayopaa kimaendeleo wengi hawafiki waendako hufia njiani kwa mateso ya kukosa hewa wakiwa wamejazwa kwenye makontena.... Maiti zao hutupwa.. Hawazikwi kwa heshima... Hawapati muda wa kuagana na wapendwa wao.... Hufa na kuzikwa kama wanyama
Maendeleo ni dhana bora lakini
Yasiwe na makengeza
Yasiwe mbilikimo
Yasiwe na ubaguzi... Huyu mupe yure muruke
Yasiwe na mizania tege
Yasijae majigambo na kujisifu kwingi
Yasiwe na agenda zilizofichama ndani yake..... Haya ndio maendeleo tuyatakayo....

Jr
Mnufaika wa maendeleo ni binadamu/raia sasa kama raia hatakumbukwa kwenye hayo maendeleo hayo yanakuwa majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaya 50

11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Serikali ina kazi sana, binafsi hata siku moja sita taka Urais wala kuwa Kiongozi yoyote ntabaki kuwa mlipa kodi mtiifu only.

Nimeamini Ukiwa Kiingozi ni kiongozi wa wote mpaka wale wa jalalani, Mtu kama huyu naona kama kalala usingizi mzito sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vigezo vya maendeleo ni elimu afya dwmokrasia miundo mbinu Kama barabara sawa ila kwa hapa kwetu flyover wameikuza mnoooooooo yani utadhani ni kitu cha kipekee kumbe kifupi flyover ni barabara tu
 
Mshana jr wewe ni Kaka kwangu, naku heshimu sana kwasababu wewe ni moja katika Watu walio nikuza kifikra.

Tatizo lako Kaka kutokua MKWELI hasa katika awamu hii, na ili linatokana Umelipa nafasi TUMBO kuliko kitu chochote.

Katika kuweka USAWA wote wa Kitaifa kuna Watu wataona wameonewa au wemetishwa au pengine hata wametekwa hii yote ni kuchafua Serikali ili isifikie lengo kwa maslahi yao.

Binafsi yote ulio gusia mpaka sasa, utatuzi wake umefanyika kwa kiwango kikubwa sana na yana onekana.

Afya Serikali ya awamu ya tano imepiga hatua kubwa na kuongeza zahanati karibu kila kataa ikiwemo kuimarisha Afya kuhakikisha Maji yana patikana na Miradi mikubwa ya Maji kama ule mradi wa Arusha na mingineo.

Serikali ya awamu ya tano kupitia Wataalam na vyuo vya Kilimo kama SUA, wanatoa taarifa kila kukicha kuhusu kilimo ni wewe na ufatiliaji wako. kama hiyo haitoshi wapo mabwana Shamba wengi mpaka kwenye mitandao ya kijamii

Uchumi, Unazungumnzia Mabarabara, Ndege na n.k hapo kwa Awamu ya tano ndio mahali pake haswa siwezi kuongelea.

Biashara ndio inaenda kwenye Usawa haijawahi kutokea katika hii Nchii, Nimeshuhudia watu waki ondoka kweli kwenye Biashara na ni watu wa Mataifa mbalimbali lakini wote nilio shuhudia, walikuwa wajanja janja japo nilipata faida kuchukua Mzigo kwao ila sikupenda kwa sababu mimi ni Mtanzania Mzarendo.

Ajira.. Kaka kiukweli unaanza kuzeeka, Ajira zilivyo nyingi Tanzania mpaka ndugu zetu wa Afrika Mashariki vijana wanatamani wangezaliwa Tanzania bado uoni? Kweli TUMBO kina njaa mbaya.

Tatizo nguvu kazi wengi ni WAVIVU na si WASTAHIMILIVU na SHORTCUT nyingi za kipuuzi katika Maisha yao.

Haki ya kujieleza.. Si ndio hivi unajieleza au Haki ipi unazungumnzia kaka? Kutukana Viongozi? au kuona wenzio Wajinga na si lolote kwako?

Ni naomba niishie hapa ila kiukweli kabisa una zeeka vibaya Kaka Mshana jr, Serikali hii iko Imara sana. Magufuli yalivyo wekwa kwenye Rasilimali za Taifa kisiwe chanzo cha kufikiri kwa Kutumia Tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wee jamaa ni kilaza cjawai kuona ivi hii awamu imetoa ajira gani ya kueleweka usiongee sababu umevaa shati la kijani, kila sekta inalalamika ukata kuanzia wakulima ambao walijitoa wakalima kwa mikopo na kutoa jasho mashambani lakini serikali imeshindwa ata kununua mazao yao au kuwaruusu kuuza nje mazao yamearibika ndyo wamekuja kutoa vibali mwishoni korosho ndiyo kabisa, wafanyakazi ndyo kabisa mwaka wa nne huu wajaongezewa mishahara, mikopo ya wanafunzi imekuwa kama danadana ambayo tulikuwa hatuionagi nyuma, acha ushabiki wakijinga sisi watanzania niwavumilivu sana ila ingekuwa nchi nyingine ungeona maandamano kila mahali.

Wananchi wanataka mil50 zao mlizotoa ahadi, wananchi wanataka sekta zinazogusa maisha yao ya kila siku zipewe bajeti kubwa hasa sekta ya kilimo na mifugo inayoajiri zaidi ya asilimi60 ya wananchi ila mnanunua mindege ambayo mngeweza kuipa presicion na fastjet kama sekta binafsi ruzuku wanunue ndege bila serikali kutoa mipesa mingi na sekta ya anga ingekuwa vizuri2

Sekta binafsi zishirikishwe kivitendo siyo kwenye majukwaa ya siasa kama swala la korosho kulikuwa na maana gani ya serikali kuingilia wakati wanajua hawanapesa, siasa izi kwenye maswala ya uchumi ni hatari kuliko ukimwi

Tatizo lako Kaka kutokua MKWELI hasa katika awamu hii, na ili linatokana Umelipa nafasi TUMBO kuliko kitu chochote....

Nitarejea kukujibu kwa weledi na sitachomekea kejeli na maneno ya kukera kwenye reply yangu kwakuwa hatuwezi kufanana mitazamo hata siku moja

Jr
 
Sikatai pengine kweli mimi kilaza ila pamoja na ukilaza wangu siwezi kusita kusema kile nacho kiona.

Siwezi kushangaa ukisema nimevaa shati la kijani!! wakati hata mwili wangu pia unapewa nguvu na mimea ya kijani kama vegetable na jioni pia na smoke kijani mjani.

Nirudie tena naomba uelewe, Kutafuta USAWA ni gharama na kuna changamoto

Hata Mh Rais kila siku anazungumza nafikiri yote kwasababu hamsikilizi Habari kwenye chombo cha Taifa.

Hata hivyo naipa pongezi Serikali ya awamu ya tano kwa juhudi binafsi, na nina Imani ipo siku utatoa credit na ipo siku utajilaumu kwanini hukuwa Kundini kuunga mkono hizi juhudi zilizo wazi na zenye kuipereka Tanzania UCHUMI wa kati.
Dah wee jamaa ni kilaza cjawai kuona ivi hii awamu imetoa ajira gani ya kueleweka usiongee sababu umevaa shati la kijani, kila sekta inalalamika ukata kuanzia wakulima ambao walijitoa wakalima kwa mikopo na kutoa jasho mashambani lakini serikali imeshindwa ata kununua mazao yao au kuwaruusu kuuza nje mazao yamearibika ndyo wamekuja kutoa vibali mwishoni korosho ndiyo kabisa, wafanyakazi ndyo kabisa mwaka wa nne huu wajaongezewa mishahara, mikopo ya wanafunzi imekuwa kama danadana ambayo tulikuwa hatuionagi nyuma, acha ushabiki wakijinga sisi watanzania niwavumilivu sana ila ingekuwa nchi nyingine ungeona maandamano kila mahali.

Wananchi wanataka mil50 zao mlizotoa ahadi, wananchi wanataka sekta zinazogusa maisha yao ya kila siku zipewe bajeti kubwa hasa sekta ya kilimo na mifugo inayoajiri zaidi ya asilimi60 ya wananchi ila mnanunua mindege ambayo mngeweza kuipa presicion na fastjet kama sekta binafsi ruzuku wanunue ndege bila serikali kutoa mipesa mingi na sekta ya anga ingekuwa vizuri2

Sekta binafsi zishirikishwe kivitendo siyo kwenye majukwaa ya siasa kama swala la korosho kulikuwa na maana gani ya serikali kuingilia wakati wanajua hawanapesa, siasa izi kwenye maswala ya uchumi ni hatari kuliko ukimwi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntashukuru ila naomba uwe Mkweli, maana safari yangu ya Maisha ina alarm zote ukidanganya najua.

Huwezi kuongoza Serikali yenye watu karibia milioni 60 kwa Miaka minne kila mtu akaelewa kwa usahihi maono na fikra zako.

.

Back
Top Bottom