Tafsiri ya maendeleo: Ethiopia imepiga hatua kubwa lakini wananchi wake ndio wanaongoza kukimbia nchi

Mexiko pia wananchi wake wanakimbilia USA hadi D.Trump anataka kujenga ukuta, Je, Mexiko ni masikini?

Labda ulipaswa ujifunze Historia ya Ethiopia na inakotoka, hii ni nchi ambayo miaka ya 80’ walikufa njaa na Dunia nzima kuwachangia chakula hata wimbo ,,we are the World “ ulikuwa ni kwa ajili yao, leo hii wanafanya vizuri hakuna njaa tena, Uchumi unakuwa shauri ya miundo mbinu bora pmj na Ethiopia airline, Adis ababa inakuwa hub ya airline connections shauri ya ethiopian airline, hivyo usiangalie mambo juu juu tu.
Usipotoshe... dhana nzima ya maendeleo ni lazima iwe kwa vitu na watu. it must be people centred. Ethiopia nimewahi ishi zaidi ya miaka 3, fika uone majority wana maisha duni mnooo. hapo nazungumzia addis. ukitoka nje ya addis huwezi amini maisha ya watu.

Ethiopia kumiliki gari ama nyumba ni ndoto ni gharama mnoo, ardhi si rahisi kupata kutokana na gharama zake. Ombaomba ni wengi mnoo na hata watumishi mishahara yao huwezi amini ni midogo sana licha ya gharama za maisha kuwa juu.

Hii ilisababisha machafuko ya mara kwa mara, kwa kiasi fulani kuna transformation inafanyika baada ya kumpata waziri mkuu mpya Adey. Sekta zote kubwa zilikuwa monopolized na gvt kwa sasa shirika la ndege, mawasiliano .nk yameanza kuruhusu kushare na wadau binafsi unajua kwa nn?? Usiandike usichokijua



Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIGERIA HAIJAENDELEA KIUCHUMI?

HAKUNA WANANCHI WAKE WANAOKAMATWAGA HAPA TZ?

NCHI GANI NI INASIFIKA SANA AFRICA KWA WIZI NA UTAPELI WA AINA YOYOTE KAMA SI NIGERIA?

ACHENI UJINGA WA SIASA ZENU UCHWARA ZA MITANDAONI HAPA.

JPM PIGA KAZI, TWENDE MBELE BABA HADI 2045.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIGERIA HAIJAENDELEA KIUCHUMI?

HAKUNA WANANCHI WAKE WANAOKAMATWAGA HAPA TZ?

NCHI GANI NI INASIFIKA SANA AFRICA KWA WIZI NA UTAPELI WA AINA YOYOTE KAMA SI NIGERIA?

ACHENI UJINGA WA SIASA ZENU UCHWARA ZA MITANDAONI HAPA.

JPM PIGA KAZI, TWENDE MBELE BABA HADI 2045.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahali tumeijadili Nigeria hapa, kaa kimya kama hujaelewa si kila mada lazima uchangie...zile zilizokuzidi kimo ziache kama zilivyo.

Jr
 
Mexiko pia wananchi wake wanakimbilia USA hadi D.Trump anataka kujenga ukuta, Je, Mexiko ni masikini?
Ndugu yangu Hujamuelewa vizuri Mtoa Mada, Mtoa Mada amesema Maendeleo inabidi Yawe Nyanja Zote, akazitaja Uchumi, Miundombinu, Siasa etc, kataja kibao; Hakuna aliposema ni Ethiopia ni Maskini, Hata Ethiopia Compared to TZ jamaa wamepiga hatua, Ila wamejikita kwenye miundombinu huku wakiacha Raia hilo ndo alilosema Mtoa Mada;
Siasa za Nchi husika zikiwa na Shida zinawafanya watu waondoke, Security etc, Yaan factor za kuwafanya watu wakimbie Nchi zao Ziko Nyingi, Sasa Mtoa mada ndio akasema Kwamba Ni vizuri Nchi zinapopambana Kuleta Maendelea Izikumbuke Nyanja alizozitaja.
 
Hakuna Nchi kama Tanzania barani Afrika na Mzee anaenda kuitwaa heshima tulio ipoteza kwa miaka mingi Trust me.

Binafsi ata kama naenda njee ntaenda ili nipate kianzio cha kujenga Nchi yangu.

Na hakuna Nchi Duniani yenye fulsa kama Tanzania.

Hii yote ni kwasababu tumepata mtu ambae nafsi zetu zili muhitaji kwa miaka na miaka, japo miili yetu imeshiba Uvivu ( DHAMBI ), Shortcut, Starehe kupita kiasi na UJUAJI wa hovyo.

Mimi kama Mtanzania nilie tokea chini kabisa kwa shida nyingi, binafsi naona NURU kubwa kuwa na Namba one kama huyu, kwasababu mchana au Usiku ndoto yake ni Tanzania ilio na USAWA.

1. Elimu ( Veta, Tbc Taifa na Youtube )

2. Bidii katika Kazi, ( Ukiwa na Bidii hata muda wa kutumia unakosa )

3. Tulipe kodi. Kodi ni kila kitu na pia ina fulsa za aina yake na ni nzuri kwa ustawi wako.

Binafsi namuelewa sana Dr Mwl Baba na ndugu Mh Rais wa awamu ya tano. Mungu akupe Maisha marefu sana hakuna kama wewe binafsi sina zawadi ya kukupa zaidi ya kuwa Mwananchi Mzalendo na mpenda Amani.

Ki strategy Tanzania huwezi kulinganisha na Ethiopia. Nchi nyingi za Afrika zilikosa Strategy baada ya Tanzania kuyumba. Tanzania ni kioo cha Afrika na Mh Rais wa awamu ya tano ni kioo cha Dunia japo ni mwiba mchungu.




Sent using Jamii Forums mobile app
upo nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wa hao wahamiaji haramu ni kutoka Eritrea na sio Ethiopia kama wao wanavyojitbulisha wakikamatwa.
 
Back
Top Bottom