Uko sahihi kamandaUnapotoa somo usiache kutoa mifano
Hawa wanaoharibu nchi ndiyo hao ambao walisoma huo uraia wako pamoja na kupitia JKT lakini ndiyo walafi wakubwa.Uraia na Maadili (zamani Uraia) darasa la sita mada ya demokrasia
Great leaders are those once who acts at best interest of their Nation and their people no matter what.....For example the Great Nelson Mandela during apartheid regime ....Uraia na Maadili (zamani Uraia) darasa la sita mada ya demokrasia
Kila siku mimi huwa najiuliza maswali, being selfish ni laana ya Waafrika ambayo inahitaji toba ama vip??kiongozi unajisikiaje kuishi maisha ya anasa nakujisikia fahari kuishi katikati maskini milioni 55 unaowangoza ?? and u feel comfortable ??Great leaders are those once who acts at best interest of their Nation and their people no matter what.....For example the Great Nelson Mandela during apartheid regime ....
Nilikuwa namjibu swali alilouliza tu mkuu... au wewe hujaona swali lake pale juu? Ameuliza sifa za kiongozi bora ni zipi ndo nikamsaidia akasome huko zilikoandikwaHawa wanaoharibu nchi ndiyo hao ambao walisoma huo uraia wako pamoja na kupitia JKT lakini ndiyo walafi wakubwa.
Sawa mkuu ugumu wa maisha unanifanya nakuwa na hasira snNilikuwa namjibu swali alilouliza tu mkuu... au wewe hujaona swali lake pale juu? Ameuliza sifa za kiongozi bora ni zipi ndo nikamsaidia akasome huko zilikoandikwa