Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo.
Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.