Mabeberu wajanja sana, wanamtandika mtu risasi za kuwindia ndege na sehemu wanayolenga ni miguu ili asife, kisha hao hao wanamtibia kwao huko wanampandikiza chuki kwa nchi yake kisha wanamtumia. Mazwazwa bila kujua wanaunga tela kumbe mtu wao mabeberu wameishamuwekea memory card mpya kwenye kichwa chake na uraia wameishampa iwapo mambo yakienda kombo anarudi kwa waliomtumia!