TAFITI : WANAUME HUPENDA ZAIDI YA WANAWAKE

TAFITI : WANAUME HUPENDA ZAIDI YA WANAWAKE

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,829
Kwa mujibu ya tafiti mbalimbali imethibitika kuwa Wanaume hupenda zaidi ya wanawake ila..........
..........
 
Ni kweli,ila ni wachache tunaoweza kuonyesha upendo wetu kwa matendo,mf.Kumvusha mkeo kwenye Zebra,kumkumbatia mkeo mbele za watu au kumshika mkono kuonyesha watu unajali,au kumkiss mbele za watu,kumfunika shuka mnapolala,kumsaidia kupika jikoni n.k...
 
Hii Bado napingana nayo ... Toa reference mkuu
 
Ni kweli, ndio maana huumia zaidi pindi wakijua wake zao wamecheat. Tofauti na m'mke anaweza kusamehe na maisha yakaendelea kawaida
 
Ni kweli,ila ni wachache tunaoweza kuonyesha upendo wetu kwa matendo,mf.Kumvusha mkeo kwenye Zebra,kumkumbatia mkeo mbele za watu au kumshika mkono kuonyesha watu unajali,au kumkiss mbele za watu,kumfunika shuka mnapolala,kumsaidia kupika jikoni n.k...
I do this, huwa siwezi kujificha kwa mwanamke naempenda. Nishamkiss Makumbusho stendi, namhug kila sehem haijalishi niko na nani familia wanasema nimetekwa ila najua nimejiteka mwenyewe, kwakweli najiona nina bahati sana. I'm done [emoji191]
 
Back
Top Bottom