Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,817
Imeandikwa aya gani iweke hapa nikaisomeWaulize wahusika ,mm nimezungumzia biblia ,ambayo imeweka adhabu kabisa kwa wala nguruwe ,panya na machukizo mengine kama kunguru,MENDE ,mbwa,bata ,konokono ,
na anawaua kwa mateso si kawaida,maana anawabeba na limdomo lake kama mkasi wa fundi cherehani.Yaani huyu ndege ni hatari...kanimalizia vifaranga wangu wote was Bata(40)
nyinyi wasabato tunawajua,hata pepsi mnasema imekatazwa.[emoji849][emoji849]Unajiita mkorintho halafu hujui biblia imekataza kula kunguru, mende
Fika Kisaki
Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,
Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
Ndio linapopita treni la TazaraKisaki ya wapi morogoro au
Ungetangaza tuu ulaji wa nyama ya kunguru ni suluhisho la wenye tatizo la nguvu za kiume. Mbona hao kunguru wangepotea hadi wengine wangetunzwa kwenye jumba la makumbusho
Mzoga wake hata sisimizi hausogelei ukiona kitu kisicholiwa China jua hicho hakiliwi kweli
Wapi umeambiwa hizo sio dhambi, ? Zote ni dhambi ,mla nguruwe na muongo wote jehanum kwa mujibu wa bibliaMbona mnazini kitu ambacho ni haramu?mnaroga,mnaua,mnasengenya,wanafiki,waongo n.k? Agano jipya limekuja kuona ni unafiki kuhangaika na nguruwe wakati kuna watendaji dhambi kama hizo na wafiraji pia.ila hawali nguruwe.
Isaya 65Imeandikwa aya gani iweke hapa nikaisome
Omba mod wakubadilishie hilo jinaunaona sasa unajitungia na mengine.
mende,kunguru katajwa wapi?
mende anatua wapi kwenye hili bandiko.Omba mod wakubadilishie hilo jina
Umeridhalilisha sana ,
WALAWI 11
14 na mwewe, na kozi kwa aina zake,
15 na kila kunguru kwa aina zake;
20 Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
21 Pamoja na hayo, hivi vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne ni halali kula, hao walio na miguu mirefu, ya kurukia juu ya nchi;
22 katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
23 Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu.
mende anatua wapi kwenye hili bandiko.
huyu hana miguu minne bana.Walawi11
23 Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu
Torati 14
19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale.
View attachment 1284785
Nisaidie ana miguu mingapi,huyu hana miguu minne bana.
kumbi kumbi pia huli.Nisaidie ana miguu mingapi,
Nitakuletea andiko tu alilokatazwa ,
Maana nakumbuka ni 4 au 6
Bas kama ana miguu 6(3 pair)
Anaingia
KUM. 14:19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi msiwale