TAFES UDOM - Welcome First Year 2016/17

TAFES UDOM - Welcome First Year 2016/17

PHILIPP DONIE

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
61
Reaction score
15
Je umechaguliwa Udom? Ama umeapply na bado unasubiri majibu? Wanafamilia wenzako tunapenda kukukaribisha uwe mmoja wetu.. Utaweza kupata taarifa na habari kuhusu mambo yote kuhusu chuo, na utakaporipoti tutaishi pamoja maisha safi na yakufurahisha.
We are Family through Christ.
We believe and trust God Almighty that our lives while at university should be nourished for the glory of his purpose.
We are family, welcome and join us.
Drop your number here and we will add you in our whatsapp group.
Or just text 0755566334
Share the news to anyone you know.
 
Ndo nini hii tafes?
TAFES_TANZANIA FELLOWSHIP OF EVANGELICAL STUDENTS.
ni faragha ya wanafunzi wakristo, tunaoishi pamoj ndani ya vhuo tukishirikiana katika mambo mbalimbali. Tunaabudu pamoja siku za wiki, tunasaidin ktika maisha wakti wote tukiwa chuoni. Tunaandaa matamasha ya gospel, music, chakula cha pamoja, nk.
Karibu sn Kirchhoff katika familia hii.
 
0762828494
Asante Japhet, ninawasiliana nawe.

Nyie ndo wale mliokuwa mnasalia porini pale karibu na Taji cafeteria kipindi cha usiku...?! Nauliza tu.. !
 
TAFES_TANZANIA FELLOWSHIP OF EVANGELICAL STUDENTS.
ni faragha ya wanafunzi wakristo, tunaoishi pamoj ndani ya vhuo tukishirikiana katika mambo mbalimbali. Tunaabudu pamoja siku za wiki, tunasaidin ktika maisha wakti wote tukiwa chuoni. Tunaandaa matamasha ya gospel, music, chakula cha pamoja, nk.
Karibu sn Kirchhoff katika familia hii.
Ipo chini ya dhehebu gani la kikristo?
 
Ipo chini ya dhehebu gani la kikristo?
Kirchhoff, We are interdenominational and nondenominational. Tunashirikiana na madhehebu yote pasipokufungwa na dhehebu lolote, tunajifunza kuishi maisha ya ukristo bila kutazama udhehebu.
 
TAFES ilinijenga sana enzi hizo nikiwa chuo ... Mungu aliweka boma juu ya msingi niliokuwa nao. Vijana msiitupe nafasi hii adimu ya kukaa karibu na Mungu..!
 
wish I could be out there but haven't got the feedback from TCU..Kama nimekuwa selected UDOM Au laaah
nasubiri selection ya pili
 
Mushi, we really appreciate your concern kn joining our University. As soon when selected, tell us so we can make it together.
Regards
 
Tunazidi kuwapongeza na kuwakaribisha wanafunzi wote wa first year mliochaguliwa chuo
 
Jamani kwenye joining instrustion ya Udom anitumie naomba tafadhali.
 
Back
Top Bottom