kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,509
Jamaa alikuta ni namba ya mwanaume anayemfahamu, demu kajitetea kuwa ilikuwa simu ya kikazi. Jamaa anauliza kwa nini hakukata ilipopigwa hana la kujitetea. Je, jamaa yangu akifikiri ni mchepuko atakuwa amekosea?Mtu anakudai na muda huyo huna cha kumjibu.....
Upo katika mazingira ambayo huwezi ongea....
Mchepu unapiga....
Rusha roho tu kumuwekea baby roho juu, roho ifurukute kijasho kitiririke awaze why hupokei simu....
Hasira, anaekupigia kakuuzi....
Namba ngeni n.k
Hizo zote zaweza kuwa tafsiri
Ni kweli maji yakimwagika hayazoleki. Mtu ukimfumania mweza wako ni donda lisilopona kama donda ndugu. Sie yalishatukutakeshaumwaga huo ushaingia mchanga hauzolekii..
Duu ULIFUMANIWA MKUU? minaona kwa mwanamme ina afadhali mwanamke ni baraaaaaaaaaaaa,na ukisamehewa ujue utaitwa majina ya kila aina bora ubebe virago vyako tuu..Ni kweli maji yakimwagika hayazoleki. Mtu ukimfumania mweza wako ni donda lisilopona kama donda ndugu. Sie yalishatukuta
Nilimfumania mke wangu ila mhhhhhhhDuu ULIFUMANIWA MKUU? minaona kwa mwanamme ina afadhali mwanamke ni baraaaaaaaaaaaa,na ukisamehewa ujue utaitwa majina ya kila aina bora ubebe virago vyako tuu..
mm pole namuomba mungu kila siku asinionyeshe hayo kwa mume wangu naweza Kufa au nikapata maradhi ya moyo..Nilimfumania mke wangu ila mhhhhhhh
Likitoka utashangaa unapata ujasiri na unaona ni kawaida bali kidonda kila siku kinakuwa kibichi hakikauki hadi siku unaingia kaburini. Si ya kuomba yakupate, kila siku omba kwa mungu usionemm pole namuomba mungu kila siku asinionyeshe hayo kwa mume wangu naweza Kufa au nikapata maradhi ya moyo..
Inshallah nikisikia hivyo naogopa! nilimfumania simtaki tena ivoo............Likitoka utashangaa unapata ujasiri na unaona ni kawaida bali kidonda kila siku kinakuwa kibichi hakikauki hadi siku unaingia kaburini. Si ya kuomba yakupate, kila siku omba kwa mungu usione
Hata wengine tulijiapiza hivyo acha mama hiyo haiwork. Kama mna watoto unaangalia future ya watoto na unacool down. Ila kuhakiki ni mtindo mmojaInshallah nikisikia hivyo naogopa! nilimfumania simtaki tena ivoo............
Ni hivi kwa kawaida kama upo katika kikao mtu akipiga simu unaikata pengine kwa kumtumia sms kuwa upo busy. Ila kama ni mtu wa karibu kama mwenzi ambaye hutaki ajue upo wapi unaacha iite mpaka ikatike. akikuuliza mbona hukupokea unajidai kuwa ulikuwa ofisi ya pili ndo maana hukusikia simu ile na umekuta missed call. Sasa kama upo na mpenzi wako na simu ikaita naye akasema siipokei hii, je inatoa tafasiri ipi? Kama hakuna namna kwa nini asiikate?sijaelewa hapo bado kidogo
Ahaaa hapo mkoje inategemea kama mna element za kutoaminiana na michepuko juu ni ishuNi hivi kwa kawaida kama upo katika kikao mtu akipiga simu unaikata pengine kwa kumtumia sms kuwa upo busy. Ila kama ni mtu wa karibu kama mwenzi ambaye hutaki ajue upo wapi unaacha iite mpaka ikatike. akikuuliza mbona hukupokea unajidai kuwa ulikuwa ofisi ya pili ndo maana hukusikia simu ile na umekuta missed call. Sasa kama upo na mpenzi wako na simu ikaita naye akasema siipokei hii, je inatoa tafasiri ipi? Kama hakuna namna kwa nini asiikate?