Democracy ni mwanamke. Inachukua jinsia ya kike kwasababu kuna vitu vingi inavyozaa kwa maendeleo ya jamii kama vile mwanamke anaendeleza uzao katika jamii.
Democracy haina nguvu ya kwake, inahitaji kulindwa na jamii; kama alivyo mwanamke.
Kilio cha democracy inapovorugwa ni kikali kama kilio cha mwanamke anayeonewa.