Tafakuri ya Leo: Tutafakari bila matusi, jaziba na kwa nidhamu

But mind kuna latin maxim isemayo: res ipsa loquitur which literally translates "the thing speaks for itself,". Inaweza isiwe applicable hapa per se, but the context makes sense anyway! Have a nice day!
Ahsante Mkuu
 
Kinachoniuma zaidi kwanini anayenyongwa ni mwanamke?
Democracy ni mwanamke. Inachukua jinsia ya kike kwasababu kuna vitu vingi inavyozaa kwa maendeleo ya jamii kama vile mwanamke anaendeleza uzao katika jamii.

Democracy haina nguvu ya kwake, inahitaji kulindwa na jamii; kama alivyo mwanamke.

Kilio cha democracy inapovorugwa ni kikali kama kilio cha mwanamke anayeonewa.
 
Mchoraji kawalinganisha wapinzani na wanawekeaona mbali sana
Ufahamu wako ni mdogo pale unapofikiri kuwa kila linapotamkwa neno Demokrasia basi inamaanisha wapinzani. Pole. Sijui ndiyo madhara ya Shule za Kata au madhara ya U-CCM?

Hivi unajua kuwa kuna mfumo wa Demokrasia wa Chama Kimoja na Mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi.

Lakini unajua kuwa kuwa hata ndani ya kila Chama demokrasia inatakiwa ionekane ikitendeka?

Demokrasia ni hitaji la jamii kwa ajili ya ustawi wa jamii.
 
But mind kuna latin maxim isemayo: res ipsa loquitur which literally translates "the thing speaks for itself,". Inaweza isiwe applicable hapa per se, but the context makes sense anyway! Have a nice day!
Una akili sana
 
Mhimili-pekee.jpg
 
Democracy ni mwanamke. Inachukua jinsia ya kike kwasababu kuna vitu vingi inavyozaa kwa maendeleo ya jamii kama vile mwanamke anaendeleza uzao katika jamii.

Democracy haina nguvu ya kwake, inahitaji kulindwa na jamii; kama alivyo mwanamke.

Kilio cha democracy inapovorugwa ni kikali kama kilio cha mwanamke anayeonewa.
 
Ufahamu wako ni mdogo pale unapofikiri kuwa kila linapotamkwa neno Demokrasia basi inamaanisha wapinzani. Pole. Sijui ndiyo madhara ya Shule za Kata au madhara ya U-CCM?

Hivi unajua kuwa kuna mfumo wa Demokrasia wa Chama Kimoja na Mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi.

Lakini unajua kuwa kuwa hata ndani ya kila Chama demokrasia inatakiwa ionekane ikitendeka?

Demokrasia ni hitaji la jamii kwa ajili ya ustawi wa jamii.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom