Tafakuri ya kipanya

Tafakuri ya kipanya

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
f97ec2caa9c18af212dccc2d87f7ca55.jpg
 
Tafsiri nzito sana hiyo

Naona Magu na Makondakta wanavyoitafuna nchi kwa mgongo wa madaraka
 
Tafsiri nzito sana hiyo

Naona Magu na Makondakta wanavyoitafuna nchi kwa mgongo wa madaraka
Kama vipi rukeni mpinge mbizi mtuachie mashua yetu, tutakutana pwani
 
Safari bado ni ndefu ila uhakika wa kufika salama haupo mtumbwi tunaotumia kwa safari ushaliwa na wasafiri...
 
Tafsiri nzito sana hiyo

Naona Magu na Makondakta wanavyoitafuna nchi kwa mgongo wa madaraka
Hiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtumbwi ni nchi ya tz, hao panya n wapinzan na kina leee su... wanaoshabikia wazungu na kudahau kua wote tuko safari moja na wao n sehem ya chombo tz kinachosafiri wanasahau kua ikichukulia ndege na wao wataathrika au wanao au jamaa zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukoo wa Panya. Wachache wapo busy kupush, Panya wengine wapo wanatafuna chombo walichopanda
 
Hiyo ni tafsiri yako si ya Masood. Hapa kila mtu ataona kivyake. Kivyangu ni kwamba Tanzania imebeba panya. Nahodha anaangalia mbali lakini abiria wanakula mtumbwi wao wenyewe. Hao ni kina Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kama nahodha wa hii manuari ndio amekula sehemu kubwa kuliko wengine?
Tena amekula sehemu nyeti!! Karibu na usukani au injini sijui?

Au baada ya kushiba ndio akakumbuka kiona mbali?!

Au msukosuko wa nungwi ndio umefanya akumbuke kiona mbali?!


Hahahah...ni mtazamo tuu!
Daaa! muda hauendi kabisa mkuu!
 
Back
Top Bottom