Mtini JF-Expert Member Apr 28, 2011 1,487 2,344 Apr 18, 2019 #1 Pamoja na juhudi zote CAG bado yuko imara
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,300 33,919 Apr 18, 2019 #2 CAG kathibitisha kwamba mapambano dhidi ya CCM inawezekana kama weledi ukitumika kwenye mapambano hayo.
CAG kathibitisha kwamba mapambano dhidi ya CCM inawezekana kama weledi ukitumika kwenye mapambano hayo.
Official Amo JF-Expert Member Aug 6, 2014 989 1,216 Apr 18, 2019 #3 Tz kuna watu wawili hawa wezi wameshidwa kuwa handle: 1.C A G 2.Lisu
B Babuu Rogger JF-Expert Member Nov 16, 2011 1,529 1,114 Apr 18, 2019 #4 Huyo dogo kweli kidume!! Kwanza urefu wake unalingana na shoka alilolishikilia...
balimar JF-Expert Member Sep 18, 2015 7,562 13,275 Apr 18, 2019 #5 Watu wanapenda kuchochea mizozo aiseh Daah
Victoire JF-Expert Member Jul 4, 2008 24,139 56,600 Apr 18, 2019 #7 CAG hatumbuliki yaani. Siyo kama kina Hosea aliokuwa TAKURURU mpaka tulishawasahau.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,760 Apr 22, 2019 #8 Huyo mwenyewe shoka ni andunje, naona kichwa kile kama kunguni.