Haujawahi kuheshim post zanguUna fikra zozote za utatuzi au ushauri au wewe ni Kama mke mwenza, unayoyafahamu ni matatizo tu bila kuwa na ufumbuzi?
Unaniita mke mwenzaUna fikra zozote za utatuzi au ushauri au wewe ni Kama mke mwenza, unayoyafahamu ni matatizo tu bila kuwa na ufumbuzi?
Usemayo ni mawazo duni sana. Mbona kuna Watanzania wengi sana wamefanikiwa? Bakhresa ni mfano mzuri sana, alikuwa ana kiduka tu cha kushona makubadhi pale mtaa wa Uhuru.Pole bibi, hakuna ushauri ambao haujawahi kutolewa kwa nchi hii toka uhuru ila jambo zuri huwa tunapokea ushauri kama hauna faida kwa chama chetu CCM tunaweka jalalani..
Siri kubwa iliyojificha ndani ya CCM na ni ngumu kuwekwa wazi ni hii, CCM haihitaji watanzania walio wengi wafanikiwe kimaisha maana mafanikio kimaisha ndio chanzo cha kujitambua na watu kujitambua ndio kaburi la CCM..
Juzi Mheshimiwa Rais amesema wanaoona hali ngumu ni wale waliozowea pesa zisizo halali.Kweli kabisa viongozi wateuliwa awamu ya tano wamefanya mlolongo wa maamuzi yasiyo na tija kwa ki-Spaniola tuna kausemi : Estar como una cabra.
Ushauri wako FaizaFoxy, wauzingatie maana wameshafanya maamuzi mengi yanayoligharimu taifa kiuchumi na kijamii na sasa hali ni mbaya sana.
Ndiyo maana nikasema wakopeshwe bila riba, ili wasitumie mitaji yao waliyopanga kufanya mengine.Hao akina Bakhressa hawakopi wakafungie viwanda vya kusaka political millage, wanakopa na kufungua viwanda vinavyolipa. Mimi niliwahi kushauri kwakuwa sera ya viwanda ni ilani ya ccm, basi ccm waanze kuwa mfano, wao kuanzia rais na mawaziri wakope na kufungua viwanda kisha wazalishe, tukishaona mfano toka kwao tutavutika.
Maana wanaccm huwa tunawaona kwenye chaguzi kuanzia rais, wabunge na mawaziri wakitumia nguvu zao zote na kusaidiwa na vyombo vya dola kuhakikisha hawapotezi madaraka. Nguvu hizo hizo wazitumie kufungua viwanda tuone ubora wao maana viwanda vinalipa kuliko urais, uwaziri, ubunge nk. Sio ushauri akina Mo wakope kufungua viwanda, halafu nyie muue, mloge, mtoe rushwa kuhakikisha mnapata madaraka.
Sawa, lakini tujielekeze kwenye ku add value ya zao hilo. Kwani japo wanunuzi wanachofanya ni kuibangua na kufungasha vizuri na kuiuza (processing). Serikali ilishindwa zamani mpaka viwanda vyake vikafa. Ni wakati muafaka wafanya biashara wazoefu wawezeshwe ili tu add value ya zao hilo.Ni ushauri mzuri hata hivyo korosho ya msimu ujao imeshapata mnunuzi na benki ya Mkombozi imeshatenga kiasi cha sh trilioni 1 kwa ajili ya zoezi hilo.
Ahsante kwa ushauri!