Tafakuri: Wafuasi wa CHADEMA waonyesha umoja na mshikamano msiba wa Kamanda George Mwingila. Japokuwa chama kipo kwenye kipindi kigumu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,931
Fikiria chama kinafungiwa kujihusisha na shughuli za kisiasa kisa tu kibaraka wa CCM ametumika kwenda mahamani.Kangaroo court.

Mwenyekiti wa chama yupo jela kwa kesi ya maonevu ya kisiasa.

Alafu kada aliyetunga wimbo kwa ajili ya chama anafariki kwa ajali akiwa safarini kwenda kuhudhuria kesi ya mwenyekiti wake anayeonewa

Michango inafanyika kwa muda mfupi kwa ajili ya msiba. .Makamanda wanahudhuria na kumzika kamanda mwenzao kwa heshima.

Ni umoja wa hali ya juu na ndio maana CCM wanaogopa.
 
Kamanda unakwama wapi, tupia picha kidogo hata Amos Makalla ajue unachomaanisha.

Back
Top Bottom