Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 4,446
- 4,155
Rais ni taasisi, anayajua mengi!
Kama una fursa ya kuonana naye au na hata wanaomshauri, basi fikisha msisitizo kuwa Rais asaidiwe aachane na kufuatilia “porojo za mikanganyiko” (conspiracy narratives) kama anazohubiri Rashid kwenye sinagogi lake. Bila shaka hizo ndizo “mengi” anayodai kujua! Zinamshushia hadhi sana.
Haya mengi ya “vita ya kiuchumi”; “madini kutaka kuibiwa”; “biashara ya chanjo”; “depopulation of Africa”; “5G”; “NWO”; “deep state”; “666”; nk amuachie Trump na wafuasi wake akina Qanon, Oath Keepers na wawakilishi wao wa huku akina Rashid & co.