Tafakuri: Mimi ni kiongozi wenu, nayajua mengi

Rais ni taasisi, anayajua mengi!

Kama una fursa ya kuonana naye au na hata wanaomshauri, basi fikisha msisitizo kuwa Rais asaidiwe aachane na kufuatilia “porojo za mikanganyiko” (conspiracy narratives) kama anazohubiri Rashid kwenye sinagogi lake. Bila shaka hizo ndizo “mengi” anayodai kujua! Zinamshushia hadhi sana.

Haya mengi ya “vita ya kiuchumi”; “madini kutaka kuibiwa”; “biashara ya chanjo”; “depopulation of Africa”; “5G”; “NWO”; “deep state”; “666”; nk amuachie Trump na wafuasi wake akina Qanon, Oath Keepers na wawakilishi wao wa huku akina Rashid & co.
 
Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui zimetoka wapi.

Mh Rais alijaribu kutuweka wazi kuwa yeye anataarifa nyingi kuhusu ili janga kuliko sisi ambao tunapepesa pepesa tu, na ndio maana anajaribu kutuambia hii ni biashara, ni vita uchumi na ndiyo maana wanaogua ni waliopo mjini ila si vijijini.

Ukiitafakari kauli ya Mh Rais inakuoa picha gani? Yeye nikiongozi wetu anayajua mengi.
anajua mengi kweli .. sasa atutajie alipo BEN
 
Kujua mengi sio kujua yote wewe
@Mshana Jr kwani Hayati alikuwa anayajua yepi mengi kuhusu Covid? Ni watu gani wakikumsanyia taarifa ambao Samia sasa ni wepi nao wanampa taarifa zakiuchunguzi? Nimeona ata Marekani wananchi wamegomea kuchanjwa! Kuna nini nyuma ya Covid na chanjo zake?
 
Kwenye hayo mengi Alikuwa hajui kama Sabaya ni jambazi ?🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
@Mshana Jr kwani Hayati alikuwa anayajua yepi mengi kuhusu Covid? Ni watu gani wakikumsanyia taarifa ambao Samia sasa ni wepi nao wanampa taarifa zakiuchunguzi? Nimeona ata Marekani wananchi wamegomea kuchanjwa! Kuna nini nyuma ya Covid na chanjo zake?
Mpinzire seriously waafrika tunaogopa chanjo kwasababu eti ina madhara!? Seriously...???
Kuna vingi vibovu na venye sumu inayouwa taratibu vitatumaliza kabla ya hata hiyo chanjo
Viwango vyetu vya afya vyenyewe viko below standard, vyakula tulavyo mmh...maji je!? Na vinywaji vingine? We are not serious for sure
 
Kakaangu Mshana kiukweli sina hakika kama JPM aliohopa chanjo lakini yamkini kuna harufu alinusa na hakuwa kusema hatoleta chanjo bali alitaka hajilidhishe chanjo hipi itafaa! Sijajua chanjo nyingine zilikuwa na nn! JPM alijitofautisha na viongozi karibu wote duniani kuhusu issue ya Covid, kuna wakati alikuwa mbele ya wengi kuhusu issue ya Covid aliongea akachekwa na mwisho wa siku yalikuja kutokea aliyozungumza.

Mpaka sasa sijui JPM alipata issue gani hasa juu ya Covid 19.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom