Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,223
- 12,943
Ilikuwa ni kauli ya Mh Rais jana alipotoa salamu zake kanisani huku akiwahasa wananchi wake kujikinga dhidi ya ugonjwa wa korona kwa njia mbalimbali ikiwemo kutotumia barakao ambazo hamjui zimetoka wapi.
Mh Rais alijaribu kutuweka wazi kuwa yeye anataarifa nyingi kuhusu ili janga kuliko sisi ambao tunapepesa pepesa tu, na ndio maana anajaribu kutuambia hii ni biashara, ni vita uchumi na ndiyo maana wanaogua ni waliopo mjini ila si vijijini.
Ukiitafakari kauli ya Mh Rais inakupa picha gani? Yeye nikiongozi wetu anayajua mengi.