Tafakuri juu ya michango ya harusi.

Maana nzima harusi ni kupata kibali mbele ya Mungu tu haya maharusi ni kujitakia gharama ambazo hazina maana
Mkuu Mimi natoa tu ili nami ikitokea wanichangie na wao. Ila kiukweli Mimi ningekuwa nimeshaoa siku nyingi ila huwa nafikiria harusi na gharama zake hadi naishiwa pozi.

Ila naomba Mungu anisaidie mwakani usiishe kabla sijaoa
 
Mimi huwa natoa tu michango ya harusi/sendoff kwa kuwa nami najua mwakani nikihitaji kuoa nami watanichangia kwenye harusi yangu.

Harusi ni inshu kubwa, huwezi kuihimili peke yako.
Tenda wema uende zako nawe hujui yupi atakayekutendea
Binafsi sijawahi kufanya sherehe, na sababu ni kwamba sipendi. Hata harusi yangu nategemea kuifunga asubuhi saa 12. Kama itabadilika basi nafungia kijijini kwetu kwa gharama nafuu sana
 
Mkuu Mimi natoa tu ili nami ikitokea wanichangie na wao. Ila kiukweli Mimi ningekuwa nimeshaoa siku nyingi ila huwa nafikiria harusi na gharama zake hadi naishiwa pozi.

Ila naomba Mungu anisaidie mwakani usiishe kabla sijaoa
Mkuu kwani ni lazima harusi??!
 
Mkuu kwani ni lazima harusi??!
Mkuu hata mm nashangaa mawazo yanatokana na nn kwa mkuu hapo juu, harusi sio lazima kufunga, mchukue mwenzio nendeni kwa viongozi wa dini mpate kibali maisha yaendelee tena ni simple sana
 
MKUU HAPA DUNIANI UNAWEZA KUAMUA KUISH KIVYAKO AU KUSHRIKIANA NA WATU.

MCHANGO WA HARUS NI DEN, ULIOWACHANGIA NAO WATAKUCHANGIA UKIOA/KUOLEWA, NDVYO MAISHA YALIVYO, KAMA HUTAKI KUCHANGIA BS UMEAMUA KUTOCHANGIWA JAMBO LOLOTE
 
Kwa msimamo wangu mm SICHANGII HARUSI KABISA
 
Nina zaidi ya miaka 3 nimeacha kutoa michango ya Aina Hii.now days pesa inakazi nyingi zaidi compare na upatikanaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…