Huu ni utaratibu unaorndekezwa na baadhi ya viongozi wa dini wasio na hekma.Laiti ungekemewa makanisani bila shaka usingefikia hatua hii ambapo baadhi ya watu wanawekeana madonge na kulipiziana visasi kisa eti hujachanga kwenye arusi yake.Baadhi ya wachungaji wanaona kutokuchanga ni dalili ya umaskini,na maskini huonekana ni mtu aliyelaaniwa,hana baraka,sasa na watu kuikimbia laana inabidi wajinyime sana!Utamaduni huu unapaswa kukemewa vikali.Kama mtu ana arusi aandae kwa pesa yake na aalike watu,wakipenda wamzawadie baaas!
Michango iwepo kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa na mambo ya lazima tu