kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 May 7, 2012 #1 Ipe maneno picha hii Attachments harusi.jpg 7.7 KB · Views: 300
Tutafika JF-Expert Member Joined Nov 4, 2009 Posts 1,443 Reaction score 636 May 7, 2012 #2 tulia basi dear tutazungumza baadae...!!, nakuambia hatulii mtu hapa, kwanini ulinificha kwamba una mke na watoto??,
tulia basi dear tutazungumza baadae...!!, nakuambia hatulii mtu hapa, kwanini ulinificha kwamba una mke na watoto??,
Baba Collin JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 456 Reaction score 58 May 7, 2012 #3 acha papara basi ntakudunda konzi ya pua kama jana kumbe hunijui!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 May 7, 2012 #4 Ni stly ya kucheza huku umeva sura ya mbuzi!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 7, 2012 #5 Shine said: Ni stly ya kucheza huku umeva sura ya mbuzi! Click to expand... kwa hiyo unataka kusema wanacheza unga leloo...
Shine said: Ni stly ya kucheza huku umeva sura ya mbuzi! Click to expand... kwa hiyo unataka kusema wanacheza unga leloo...