Hivi karibuni Mkuu wa wilaya Mh. JOKATE MWEGELO amefanikiwa kushawishi wananchi kusaidia wanafunzi wa kike katika wilaya ya kisarawe kwa kuanzisha kampeni ya TOKOMEZA ZERO ambayo amepata michango kutoka kwa watu mbalimbali nchi.
NATAFAKARI juhudi hizi ni za kuungwa mkono pasi na shaka lakini tusisahau kisarawe kuna watoto wakiume pia nao wanachangamoto na Mkuu wa wilaya anasehemu pia ya kuwasaidia tusije jenga jamii yenye tabaka pasipo kujua siku zijazo.