Anicet mchomvu
Member
- Apr 18, 2012
- 95
- 213
TAFAKARI YANGU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI....
ACHA NITENDEE HAKI TAALUMA YANGU
JE NI WAPI TUNAELEKEA??
Mfumo wa elimu ya Tanzania umekuwa ukibadilika kila siku, watatumia GPA wataacha, watatumia Wastani wataacha watatumia Division nayo pia wataiacha...
Ilimradi tuu watuchanganye watanzania kuwa kiwango cha ufaulu kimepanda
Awamu ya tatu, waziri wa elimu alikuwa akiwarudisha nyuma kidato cha pili ambao walikuwa wanapata Alama chini ya wastani wa 21, maana yake ili ufaulu kuendelea na darasa ilitakiwa uwe na maksi angalau kama ifuatavyo;-
Historia 21
Kiswahili. 21
Kingereza 21
Jiografia 21
Uraia 21
Fikikia 21
Kemia 21
Baiolojia 21
Hisabati 21
Ukipata
Historia 21
Kiswahili. 21
Kingereza 21
Jiografia 21
Uraia 21
Fikikia 21
Kemia 21
Baiolojia 21
Hisabati 20
Unarudia darasa kwa sababu hujafikisha wastani
Awamu ya tatu hiyo hiyo tulimpata waziri Mungai ambaye naye alibongonyoa elimu lakini katika Alama za ufaulu, ili uendelee kidato cha tatu ilitakiwa uwe umefaulu kama ifuatavyo:-
Historia 30
Kiswahili. 30
Kingereza 30
Jiografia 30
Uraia 30
Fikikia 30
Kemia 30
Baiolojia 30
Hisabati 30
Ukipata Alama zifuatazo unarudia darasa
Historia 30
Kiswahili. 30
Kingereza 30
Jiografia 30
Uraia 30
Fikikia 30
Kemia 30
Baiolojia 30
Hisabati 29
Sipendi kuendelea na mifano naomba moja kwa moja nije matokeo ya awamu hii ya Mzee wa hapa kazi tuu
Mwaka huu ili ufaulu uendelee kidato cha tatu inatakiwa uwe umepata Alama hizi
Historia 00
Kiswahili. 00
Kingereza 00
Jiografia 00
Uraia 00
Fikikia 00
Kemia 00
Baiolojia 30
Hisabati 30
Ili urudie darasa inatakiwa uwe umepata
Historia 00
Kiswahili. 00
Kingereza 00
Jiografia 00
Uraia 00
Fikikia 00
Kemia 00
Baiolojia 00
Hisabati 30
Afu tunaambiwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia kadhaa....
Na wakati huo huo wanazibana shule binafsi ili zifanye madudu sawa na yao
Hapo ndo utakapogundua wale wabunge wanashabikia tuu ilimradi waingize siku, wale wanaowadekisha walimu madarasa, wanaoshusha wakuu wa shule kwa kukataa wanafunzi kuvaa sare za chama, kuwakamata wanaowakosoa..n.k
Takakari yangu
SOURCE:HOME OF INTELECTUALS-UDSM,UDOM,MZUMBE,SUA,SAUT,ARU,MAKUMIRA.