mwananganya
New Member
- Feb 5, 2011
- 2
- 0
Habari ya leo ndugu zangu. Ni mara yangu ya kwanza napost coment kwenye ukumbi huu.
wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja au niite ni sawa na identical twins, kabla hawajachaguliwa hupiga porojo nyingi sana kutaka waonekane wao ni bora, wakishachaguliwa sijui wanapewa maji ya ''bendera''? wanasahau ahadi zao zote na kuangalia maslahi yao. Hakuna wa chama tawala wala wa upinzani aliyekataa milioni 90 za magari. Waliokuwa wanatoka na waliokaa ndani kwenye vikao vyote wametulia kimyaa...
Eti wanasema mabomu yamelipuka kutokana na matatizo ya umeme ambayo yamesababisha joto kupanda kwenye vyumba vya hifadhi ya mabomu ina maana kunahitajika generator ya mabillion kuwasha AC za kustabilize temperature au? inatisha. jana mbagala, leo gogolamboto, kesho lugalo, keshokutwa lugalo ya upanga, mtondo kunduchi, mtondogoo mbweni... kibaha, mlandizi, ngerengere, tabora ... na kadhalika na kadhalika mmh list ndefu sana, sasa maeneo yote yako karibu na kambi za jeshi tukakae wapi ambako mabomu hayatatufikia? Tafakari
sijasikia tamko lolote lenye akili kutoka kwa politicians especially the so called opposition the one we thought are our "servior"
can we be a littlebit practical here??
Tutafakari jamani.. hii hali si hali loo! hatujui ni kipi kinafuatia