Unajua tatizo sio watu hawataki kulima tatizo ni ukame uliosabababishwa na mabadiliko ya tabia nchi sasa kama hakuna mvua yaani maji utalimaje na je mazao yatakubali bila majiEeeeh
Mkalime, mkafanye kazi
Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida
Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Wanalima nini wakati mvua hazinyeshi
ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...
Mwenzetu unaishi ikulu nini? Maneno yako sawa na ya Mr. Pombe leo Simiyu. Walime kuna mvua au umeshatengeneza mifereji ya umwagiliaji? Yawezekana wewe umezaliwa Manzese, umekulia Manzese na kuolewa manzese ingawa sasa unaishi Ikulu kulikojaa ghala lakini haijabadili haiba yako.
Hivi unajua maana kulima?ndio nyie ukiwa na bustani tu unajiita mkulimaSehemu zenye mito nazo mito imekauka?
Unajua tatizo sio watu hawataki kulima tatizo ni ukame uliosabababishwa na mabadiliko ya tabia nchi sasa kama hakuna mvua yaani maji utalimaje na je mazao yatakubali bila maji
Hivi unajua maana kulima?ndio nyie ukiwa na bustani tu unajiita mkulima
Mwingine hatarUkwel lazima usemwe
ahaaa alitumwa jaman ...lakin hatowasikiliza...unga kilo 1500Wapi mifugo inakufa, wameambiwa wauze kama wanaona hayawezekani. Ni hao hao kama yule alisema ng'ombe elfu 17?
Hongera mkuu naona upo ikulu sbb huko kuna kila aina ya ufugaji na kilimo. Ukiamka asubuh chai ya maziwa, supu na pocho pocho mengi. Tangu lini kukawa na njaa?Una mawazo finyu kwani unadharau capacity ya kilimo cha umwagiliaji na jinsi kinavyoweza kuzalisha mazao ya kutosha!! Umewahi kusikia jinsi wanavyozalisha mazao huko jangwani Israel? Kama wao wanaweza huko jangwani sisi tunashindwaje tukiwa na mito na maziwa lukuki? Acheni uvivu wa kufikiri.
Hongera mkuu naona upo ikulu sbb huko kuna kila aina ya ufugaji na kilimo. Ukiamka asubuh chai ya maziwa, supu na pocho pocho mengi. Tangu lini kukawa na njaa? Tukisema tz nchi maskini ww unaelewa nn? Mbona una mawazo ya kitoto hivyo? Unalinganisha nchi zilizoendelea na Tz? Hali ngumu watu wanaishi chini ya dola moja halafu ww unasema kilimo cha umwagiliajiEeeeh
Mkalime, mkafanye kazi
Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida
Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Tukisema tz nchi maskini ww unaelewa nn? Mbona una mawazo ya kitoto hivyo? Unalinganisha Israel na Tz?
Hali ngumu watu wanaishi chini ya dola moja halafu ww unasema kilimo cha umwagiliaji wakati wakulima wengi wanatumia jembe la mkono. Sijui wengine wapo ndotoni. Mnasema km vile tupo marekan vile. Ww unashamba na unafanya huo umwagiliaji?
Una akili kweli? Huwa unaninulia chakula?Tatizo lako wewe ni mtu uliekata tamaa hivyo huwezi kufanikiwa, unangojea uende kanisani na padri akwambie utoe sadaka ili akuombee chakula kitakuja chenyewe BWANA atatoa!! Acheni ujinga huo jishuhulisheni and do not be pessimistic!!
Eeeeh
Mkalime, mkafanye kazi
Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida
Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Mkuu jipange sana km ndiyo umetumwa ushindwe na ulegee. Watu walime nn wakat mvua hakuna, mazao yanakaukia shamban. Hii yote ni sbb ya laana za fisiem na wapiga zomari km ww. Ulipo unaongea ongea hata shamba hauna. Tabu tupu. Ndiyo tatzo la kuwa UVCCM sijui huwa mnalishwa nn na malaika wenu mkuu.Tatizo lako wewe ni mtu uliekata tamaa hivyo huwezi kufanikiwa, unangojea uende kanisani na padri akwambie utoe sadaka ili akuombee chakula kitakuja chenyewe BWANA atatoa!! Acheni ujinga huo jishuhulisheni and do not be pessimistic!!
Well said mkuu halafu anatokea mpiga zomari wa sisiem anakuambia mfanye kaz meshazoea vya bure. KUNA MTU ANAPENDA KUWA MASKINI? MIAKA NENDA RUD KILIMO CHETU CHA JEMBE LA MKONO HALAFU MTU ANASEMA IRRIGATION SASA HIYO IRRIGATION ITAWEZEKANA KWA KIPATO CHETU CHA 2000? MATREKTA YENYEW YANATOKA CHINA ULIZA BEI UONE BILA M HUTOI.Japokuwa sijasoma kihivyo ila elimu na maarifa nliyonayo yanatosha kufaham kuwa ili mazao yastawi yanahitaji ardhi yenye rutuba pamoja na maji.
Sasa kama hakuna mvua na irrigation haiwezekani kwa eneo husika kulima huko analimaje mkuu...?
Hapo bado pesa ya kukodi eneo, walimaji, mbolea, madawa nk
Kipato chenyewe ndio kama hivyo na ajira wamesitisha, hivi ulifkiria kwanza kabla ya kuandika...?