Ni kweli kabisa mshana jr, wao wameweka mambo kwa maslahi yao binafsi, mtoto kama huyu anaishi maisha magumu hadi uzee wake, maana kusoma kwa shida, kufaulu kwa shida na hata ajira za shida, nini hatma yake!!!Kuna maswala muhimu mno yameachwa kuingizwa kwenye katiba iitwayo mpya kwa sababu ya interest za wakubwa
Tunaishi kwa furaha katikati ya lindi kubwa la ufukara
Yaani ninatamani sana magamba yatoke, maana this is too much. Miaka 51 ya Uhuru bado wanafunzi wanakalia mawe wakati kuna watu wameficha hela Uswiss na hawajafanywa lolote? Ee Mungu sikiliza kilio cha wanyonge, hospital hakuna madawa, mashuleni hakuna walimu, nini hatma ya Tanzania:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:Dawa ya kwanza kubwa kabisa ni kuyaondoa MAGAMBA jamani.... '2015 MAGAMBA OUT'
aje kuwa jambazi avunje benkiNi kweli kabisa mshana jr, wao wameweka mambo kwa maslahi yao binafsi, mtoto kama huyu anaishi maisha magumu hadi uzee wake, maana kusoma kwa shida, kufaulu kwa shida na hata ajira za shida, nini hatma yake!!!