Nimekua natazama video za hiki tukio la uzinduzi...Mimi Sina fani yoyote ya kijasusi ila Kuna mambo nmenotisi kwa akili yangu ya kilevii...
*Mkasi wa kukatia utepe..alivyomaliza kukata utepe akashika maeneo ya pua..
*Wakati wa kuingia Kuna giza lilitokea gafla kama kamera ilikua giza gafla
*Mtazameni ponjoro..unapotaka kumuondoa mtu ama uko katika mipango ya kufanya hivyo Kuna lugha ya mwili hua inazungumza tu yenyewe ..sura inazungumza tu yenyewe...wenye macho makali ndio huona...
* Maiki ya njano kwa nyeusi...sielewi kua kwanini mwenyeji aongee na maiki ya nyeusi na mgeni ya njano...
* Security details, yule mwamba aliekua anatembea nae sana mheshmiwa hakuonekana siku hio...why?