Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,886
- 2,539
Nakiri sijaelewa.
Hamna wanachojua zaidi ya kutunyanganya mademu zetu tu hapa Dar.Nchi zilizo serious na maisha, kama kunahitajika kitu cha namna hii basi timu ya ulinzi wa Rais wanaenda na equipments zao.
Hapa PSU walichemka pakubwa sana.
Mzee hujaelewa tu bado...Hii ilikuwa kinga ya Corona?..
Kunywa bia na nyama choma pia ..Hamna wanachojua zaidi ya kutunyanganya mademu zetu tu hapa Dar.
Duh adui wako ni mwanandani wako
Wewe unajua nini tuambie basi unayoyajuaMnaongea upuuzi tu hamjui kitu
Ngoja kwanza mkuu , hii picha ya lini?
Mbona ni kama wanajifukiza kipindi kile cha korona?
Sahiv inanunukaHii nchi imeoza Kuanzia mda tu
Unaendeleaje MkuuMbona ni kama wanajifukiza kipindi kile cha korona?
Ukiangalia background ya picha kila mmoja kajibagaza musk usoni!
unawalinzi waliosoma maendeleo ya jamii na kurusha miguu karatee utegemee usemaloNchi zilizo serious na maisha, kama kunahitajika kitu cha namna hii basi timu ya ulinzi wa Rais wanaenda na equipments zao.
Hapa PSU walichemka pakubwa sana.
Bro hebu nidadavulie .kichwa imechoka.hapa nawaoma.wauaji 2
Hapa ni wapi?