britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,178
- 41,625
Hata sisi mazingira yale hatukuyaelewa
Britanicca
Britanicca
Ntakuchek PMSiku hii nilikuwa miongoni mwa timu pale morogoro tuliwashwa sana machoni na vifua kubana! Hapo Jamaa alikuwa kashatolewa haraka kisa battery ya moyo
Kuna picha nyingine jamaa hao wanapeana hugkwenye clip zote nikiangalia siioni hili tukio
Weka Ile nyingineNtakuchek PM
Hii ilikuwa kinga ya Corona?..
Kama hivi ndivyo ilivyotokea basi nchi yetu inashida kwenye idara ya wanaowalinda viongozi
Shida MnooooooKama hivi ndivyo ilivyotokea basi nchi yetu inashida kwenye idara ya wanaowalinda viongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa gas uzinduziHii ilikuwa kinga ya Corona?..
Ndio hiyo Morogoro au ?Taifa gas uzinduzi
Kila siku wananchi wengintu tunalalamika hii nchi karibu kila kitu hovyo.Nchi zilizo serious na maisha, kama kunahitajika kitu cha namna hii basi timu ya ulinzi wa Rais wanaenda na equipments zao.
Hapa PSU walichemka pakubwa sana.