Tafakari na Kipanya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
TAFAKARI NA KIPANYA.jpg
 
Wabongo bwana! Sijui mkoje aisee! Wakat Kikwete anazurura kila kukicha ulaya kipindi kile mlilalamike kwamba anafuja pesa leo Magufuri yuko kivingine mnaleta maneno mbovu mbovu,... Kama ww ni mwanaume basi hukustahili kabisa kuwa me bali ke ulistahili haswaa.
mkuu ukiwatafakari sana watanzania unaweza kuchanganyikiwa, ni watu ambao hawajui nini wanataka.

Mtu kama huyo unafikir atakuwa na mawazo yenye manufaa?
Yeye anaamini kila anayesafiri nje ya nchi anajua kiingereza na anaamini kuwa anayeongea kiingereza ndio mwenye akili huyo ng'ombe ni kumsamehe tu.
 
mkuu ukiwatafakari sana watanzania unaweza kuchanganyikiwa, ni watu ambao hawajui nini wanataka.

Mtu kama huyo unafikir atakuwa na mawazo yenye manufaa?
Yeye anaamini kila anayesafiri nje ya nchi anajua kiingereza na anaamini kuwa anayeongea kiingereza ndio mwenye akili huyo ng'ombe ni kumsamehe tu.
pumba tu na Rais wako mpelekeni chuo.


swissme
 
nimetafuta huko google kote hamna kitu, inawezekana kweli!

Mwenye speech yeyote ya Mh. aliyotoa in English, atupie humu jamvini....!

Kwanza nianze kwa kusema, kufahamu kuongea lugha fulani siyo kigezo cha uelewa wa masuala mbali mbali bali ni kigezo cha kuweza kupunguza urasimu katika mawasiliano na wanaotumia lugha hiyo.

Pili, kuna baadhi ya watu wamejenga mitazamo kwamba Rais Magufuli hawezi kuongea lugha ya kiingereza kwa sababu hawajamsikia akiongea lugha ya kiingereza.

Kuna wengine ninaamini baada ya kumsikia, wataanza kusema, ooh, kiingereza chake kina grammatical errors!

Kwa wale wenye fikra na mitazamo hasi wanaweza kuangalia video hii ya mwaka 2011 wakati akifanya mahojiano na kiongozi wa ''The Teacher's Country" (Start - The Teacher's Country) wakati wa ufunguzi wa kivuko cha kisiwa cha Kome, Mwanza.

 
Dah! Lakini jamaa ni Dr. na alikua mwalimu. Ila si unajua tatizo letu hata mtu asome hii lugha kama hauitumii mara kwa mara kuongea kiufasaha inasumbua? Cha msingi akifanya mambo ya maana, ataheshimika tu hata kama hajui lugha nyingine zaidi ya ile ya kwao.
Nimekuelewa mkuu. Naamini magu atatutolea huu ukoloni mambo leo. Kikubwa naomba elimu izingatie stadi za kazi waachane na historia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom