mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,306
- 6,514
KP humchora pasi na kumkosea.
KP humchora pasi na kumkosea.
Kiapo nikitunza siri za rais na ukikiuka haina mahakama.....wanahukumu wenyewe sasa jitafakari.hivi kumbe huyo mpambe anaweza kusikia chochote hata kama raisi anapenyezewa taarisfa nyeti zaidi ya nyeti zenyewe?
maana kwa huo ukaribu nahisi anadaka kila kitu
Hahahaha utaitwa mchocheziMzee kuna kipindi walitutuhumu eti "watu wa Singida" ndio tuna injinia fujo na kero kwa nchi hii, walisema eti mimi, Mangu, Lisu na Kitila.