Tafakari Konyagi

Anawaza Namna jinsi atakavyoinywa Hadi jamaa wa Lebo ya Nyagi ashushe mikono.
 
Anameza funda chungu mdomoni na anajua anajiharibia maini yake
 
Anashindwa kuamini ilicho mfanya imebidi ainue chupa kuhakikisha yanayo mtokea kichwani yanaendana na hiyo chupa ama
 
Halafu acha kumwangalia mwenzio akiwa anaponda raha maana ulivyomkodolea mimacho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajaungana na msafara wa taifa stars huyo?
 
Anafanya tathimini kama hili kinikia linachenjulika?
 
anajisemea "MANINA HUYU DEMU LEO LAZIMA NIKAMCHAKAZE NIKIMALIZA HUU MZIGO WOTE...."
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…