D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Jul 11, 2016 #2 Kameanza kuhoji kama wapinzani, eti: "Kuna dalili za maisha bora?" Tahadhari: Kajiandae kuhojiwa. Kuzingirwa. Kushitakiwa kwa uchochezi...
Kameanza kuhoji kama wapinzani, eti: "Kuna dalili za maisha bora?" Tahadhari: Kajiandae kuhojiwa. Kuzingirwa. Kushitakiwa kwa uchochezi...
D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Jul 11, 2016 #4 wambura marwa said: Kweli kameanza Click to expand... Kasubiri hadi 2020. Ndo kaulize hayo maswali. La sivyo, kwa sasa, katahesabiwa kanaleta "fyoko fyoko"...
wambura marwa said: Kweli kameanza Click to expand... Kasubiri hadi 2020. Ndo kaulize hayo maswali. La sivyo, kwa sasa, katahesabiwa kanaleta "fyoko fyoko"...
wambura marwa JF-Expert Member Mar 7, 2015 2,172 1,128 Jul 11, 2016 #5 Descartes said: Kasubiri hadi 2020. Ndo kaulize hayo maswali. La sivyo, kwa sasa, katahesabiwa kanaleta "fyoko fyoko"... Click to expand...
Descartes said: Kasubiri hadi 2020. Ndo kaulize hayo maswali. La sivyo, kwa sasa, katahesabiwa kanaleta "fyoko fyoko"... Click to expand...
N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,291 Jul 11, 2016 #8 Kanani bandugu mbona sipati picha hapo??? au mi bwege?
Fundi chupi JF-Expert Member Jul 7, 2016 342 246 Jul 11, 2016 #9 Bora nibanane hukuhuku kwenye nchi za watu japo milio ya paaaah ndio tuliyoizoea