Tafakari; Je wana jF ni invisibles?

Tafakari; Je wana jF ni invisibles?

kuna mzee mmoja alikuja ofisini wakati anasubiri kitu flani akaenda pozi kwenye gari yake wakati namfuata nikaona yuko jf anafuatilia mjadala flani kwa PC.....!
ndo huwezi muuliza handle yake ni privacy na wala hat mimi sikumwambia ni member jf
 
wew ishia hapohapo, huyo atakuwa Bujibuji Simba Nyamaume ole wako akusikie
 
Miaka yangu 14 JF sijawahi kukutana na mwana JF.... Wala kujua handle ya mtu. Ingawa yangu kuna baadhi ya watu wanaijua kutokana na maswala mbalimbali waliyoniagiza niwasaidie kutuma kwa jamii....
same here aisee
 
Back
Top Bottom