Tafakari jadidi

Tafakari jadidi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,118
View attachment 221849 1422301725907.jpg
 
picha na ujumbe wako vina mahusiano gani?
 
Wanyama pamoja na uhayawani wao wasingeweza kufanya yaliyofanywa na binadamu kwa viumbe Hawa! Inahitaji kutafakari kuweza kutambua maana yake watu8
 
Last edited by a moderator:
Wanyama pamoja na uhayawani wao wasingeweza kufanya yaliyofanywa na binadamu kwa viumbe Hawa! Inahitaji kutafakari kuweza kutambua maana yake watu8

Lakini nishawahi kuona mahali kuwa hiyo picha ya miili ya hao watu, ni maiti zilizoungua moto baada ya mlipuko wa mafuta huko Nigeria na si mauaji ya halaiki...
 
Yeah lakini kuna wale wa Rwanda waliokimbilia kanisani halafu wakachomwa live, mmoja wetu anaweza kuwa sahihi au kinyume chake
 
Back
Top Bottom