Tafakari hili tafadhari

Tafakari hili tafadhari

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Ni kama story lkn kunajambo lakujifunza kwetu:
Baba 1 alikuwa anaosha gari lake jipya, mwanae mdogo 5yrs old akalichora hilo gari ubavun na jiwe. Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na kumbana mkono kwa plaiz ikapelekea vidole 3 kuharibika. Wakiwa hospital mtoto akatakiwa akatwe vidole vile 3, mtoto akamuangalia baba yake; akamuuliza, vitarudi tena? Baba akaumia sana, akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini, kakuta mtoto kaandika Dady i love you. Kanuni ya maisha ni watu wapendane na vitu vitumiwe, lakini tatizo la walimwengu wa leo, wanapenda vitu kuliko watu. nakutakia
TAFAKARI njema.
 
Asante sana Mkuu Mungu akubarki mpaka Machozi yamenitoka utafikiri ni Kisa cha kweli.
 
Mungu atuongoze! Kwel watu tunathamini vitu kuliko uhai wa binadamu! Ndo maana tunauana! Asante kwa kutukumbusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom