zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
hapa walikutana kwenye msiba mkuu!Kweli kabisa, wala hujakosea:
![]()
shibuda kawafuata kizota, halafu hata kama slaa ndo angeonekana kizota tungeita huo ni mualiko wa kawaida yeye kama katibu mkuu wa chama na pia hatuna mashaka naye kwakuwa tunajua uadilifu wake, huyo shibuda na mwenendo wake ........
ni makosa makubwa kulinganisha picha ya rais mtarajiwa akiwa na huyo vuvuzela sawa na shibuda...
