Tafakari haya fanya uamuzi

shoshte

Senior Member
Apr 9, 2011
129
20
kama umeoa au umeolewa au una rafiki wa kike au wa kiume,kumbuka siku ya kwanza mlivyokutana naye ukampenda naye akakupenda
mkakubaliana kupendana na mkapeana ahadi za kuwa pamoja.Amekuwa nawewe wakati wa shida na raha amekusaidia mengi bila malalamiko
anakupenda anakujali anakuheshimu anakufanyia yote mazuri ila wewe unaona hafai unaenda kutembea na mtu mwingine kwa ajili ya tamaa
za mwili au za mali au za starehe.anakuja kugundua unamcheat anaamua kukusamehe baada ya muda unarudi kuleklule.Jaribu kujiweka kwenya
hali hiyo kuwa ingekuwa niwewe ungefanyaje na kumbuka ahadi ulizozitoa mwanzoni tafakari haya fanya uamuzi
 
Unasikitika for a while then unaendelea na maisha, hakuna mtu yuko responsible to your happiness ni wewe mwenyewe, uking'ang'ania hapo kubali yanayofatia
 
Hakuna kitu kinaitwa ahadi kwenye kitu inaitwa mapenzi kati ya mke na mume/ rafiki wa kike na kiume. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani.


Ukitaka mapenzi unayapata toka kwa wazazi wako na wanao tu.
 
Unasikitika for a while then unaendelea na maisha, hakuna mtu yuko responsible to your happiness ni wewe mwenyewe, uking'ang'ania hapo kubali yanayofatia

well said mamito, mtoa mada soma signature ya gaga hapa

No one screw your life, unless you gave them the screw driver! -
 
Back
Top Bottom