Tafakari chukua hatua

Team R

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
186
Reaction score
33
Je umewahi kujiuliza mpenzi/wenza wako anakupendea nn/kinachomfanya aendelea kukependa na kuwa na ww mda wote huo.
 
Anasema ananipenda kwa kuwa namgegeda vizuri.
 
mimi amenipendea six packs zangu....
 
Love doesn't ask why, they said!
 
Ananipenda the whole of me, even my weakest points; the moment l change l cease to be me.
 
Ww vp unaulizwa na ww unaulza acha zako kuwa...!!!

Ungeweka angalizo basi kuwa wewe hutaki kuuzwa...

Halafu itakuwa ni maajabu kuwauliza watu jambo ambalo ukiulizwa wewe wakosa majibu kulihusu...
 
Inategemea maana unapomtongoza mtu anakua hakujui wala humjui ( kiundani), ila mda unavyokwenda mazoea yanajengeka utofauti unaonekana kati yangu na wengine( ndo ninavyohisi ukiwa na mpenzi) kwamba mimi ni wa pekee kwake kwa matendo na fikra!
 
Sina hata haja ya kutafakari nimelog off tu
 
Usiusemee moyo,swali lingekuwa ni kitu gani kilichofanya umpende mpenzi wako? Ila kusema ni kitu gani alichonipendea ukweli anaujua yeye hayo mengine sijui handsome or unajali ni mbwewe sitarajii aseme wewe una sura mbaya au haujali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…