"If you died today, where would you go?"
Nafikiri lugha hiyo kwenye bango ina matege, sio wewe englibertm. Labda kunyoosha matege hayo tungesema
"If you die today, where will you go?" Unajua tena hii sio lugha yetu, hivyo makosa lazima yawepo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.