Tafadhari soma hapa

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
382
Habari wapendwa..

naomba mwende katika JUKWAA LA SHERIA niliweka post yangu yenye kichwa cha habari kinachosema MSAADA KATIKA SHERIA ZA KAZI...

Lakini sijapata msaada wa mawazo na ninaamini wanasheria wamo wengi labda hawaingii katika jukwaa lile make posti yangu ina wiki. tafadhari wanasheria naomba msaada wenu nendeni mkafungue mwone..

Imebidi nilete ombi langu hapa make ninaamini hapa watu wanapapenda sana....

Nawasilisha
 
Haha labda ingekuwa sheria ya ndoa u ile y kuritishana mke kama ya mombasa any way poke tutaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…