Ili uwe registered ni lazima ulipe nusu ya ada ya chuo pamoja na direct costs. Ni kwakuwa hakuna ushirikiano kati ya vyuo na bodi ya mikopo, baadhi ya vyuo naskia huwaambia wanafunzi wao walipe ada na fedha ya Bodi ikifika wanarudishiwa sehemu ya ada iliyozidi.
Tatizo linakuja kama kiwango cha ada ya chuo ni kikubwa kuliko uwezo wa mwanafunzi. Hapa kiukweli (ukweli mchungu) hutaweza kufanya registration. Na ndio inakuja umuhimu wa bodi kutoa status ya mikopo bado mapema ili wanavyuo waweze kufahamu ikiwa watapata mikopo kwa batch zijazo au la.
Poleni sana.