Umesaidika au badoNdo natumia graphic card na nimejaribu kubadilisha lakini bado inazingua
ram umezicheki, gpu ya ndani umejaribuNdo natumia graphic card na nimejaribu kubadilisha lakini bado inazingua
Hiyo mashine haiwaki . Inawaka nusu.Mimi nina desktop yangu aina ya Dell. Ila tatizo lake silijui maana nikiwasha inawaka ila haitoi picha kwenye monitor.
taa ipo ila inawakaga ya njano2Hiyo mashine haiwaki . Inawaka nusu.
Swali. Je ikiwaka pale kwenye desktop unapowashia pana taa ya signal inatakiwa ikiwaka inaanza orange halafu inakuwa kijani. Sema kwako ikoje. Hii haijalishi monitor/screen ipo au haipo. Inatakiw iwe kijani . Leta mrejesho hapa.
yaani nilibadilisha monitor lakini bado inazingu ila nilivyo ifungua kuiangalia niliona kapasta 1imevimba je linaweza kuwa ndo tatizo?Kujua kama ishu iko kwenye monitor au processor unit, jaribu kutumia monitor nyingine.
Ikifanya kazi basi ni ishi ya monitor au vga yako kama nayo haiwaki basi ni ishu ya kwenye processing unit..