Tafadhalini sana mabinti.

Hii imekaa kitamthilia, lakini huenda kweli maana wanaume tunatofautiana.. kuna waliozaliwa na DNA za ushamba na akina sie tuliochangamka aka wazee wa malikauli/
 
Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
Yah sound true, wanaume cc hatutabiriki, upewe baada ya siku 2 au baada ya mwaka haijalishi, ukiamua kutulia unatulia tu. isitoshe mke bora anatoka kwa mungu. ukikuta mnaendana specifications and characteristics kwa nn usitulie na kumbuka utafaham tabia ya mtu baada ya kuwa inrelationship, binafsi mpaka sasa bado cjapata ninaeendana nae, hope i wil get soon omg. Lol
 

hahah sasa hapo jamaa si kabakwa,halaf hii stori km ni ww vile
 

yah!some tym
unakuta mdada anampenda
mkaka ila kumwambia ni kazi,sasa
mkaka akifunguka nisumbue ili iweje ilhali
nimempenda kitambo akhhhu najilia tundi langu!!!
 
wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu

Hii nimeipenda na ndio inayofanyika nowdays,unazungushwaaaaaa,huku anapewa mwingine,wewe unajipa moyo kua anakusumbua so sio mgawaji,nami kabla nilifikiria hivyo,but now ukizungushwa jua kuna wengine wanamega,mpaka uje upate kashamegwa sana au kuna bifu na huko alipo ndo anakugeukia wewe,we unajua anakupenda mmhhh umeona hii kamba ilivyo na mzunguko?safi kisukari napenda speaker asome pia.
 
Hivi mtu anapokusumbua ina maana anakupendaaaa au yupo neutral anahitaji umshawishi akupende.....au wakati huo si kuna sehemu anakuwa anamegwa alipojishikiza kabla hajakukubalia?
 
Hivi mtu anapokusumbua ina maana anakupendaaaa au yupo neutral anahitaji umshawishi akupende.....au wakati huo si kuna sehemu anakuwa anamegwa alipojishikiza kabla hajakukubalia?
Ningependa wangelijua hilo lakini kwa upeo wao wanafikiri kama wanavyofikiri.
 
Monaco naunga mkono hoja.
 
Hii imekaa kitamthilia, lakini huenda kweli maana wanaume tunatofautiana.. kuna waliozaliwa na DNA za ushamba na akina sie tuliochangamka aka wazee wa malikauli/
Mkuu kuna wazee bongo hii wakimtaka demu wako hawaoni shida kumtupia kagari ka milioni 10, kwao hiyo pesa ni sawa tu na ya vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…