Tafadhali Usininukuu: Kwenye Dini Na Siasa Kuna Mahali Tunakosea...

Kama viongozi wa Kisiasa wanaheshimiwa makanisani na kupewa nafasi ya kuzungumza neno,busara hiyo hiyo ingetumika kuwakumbusha kutenda haki.
Baba au Mama hawashambuliani sebuleni
Ndo udicteta huo wanao tuhumiwa nao, kwamba marufuku kukosolewa hadharani??.......kitu kidogo kimekuwa mis-handled namna hii, kwa makubwa itakuwaje?
 
Ukishaona mtu anaanza na maneno haya katika andiko lake "" tafadhali usininukuu"" tayari naye hapendi kukosolewa.
Mdogo wangu mjengwa umeanza kukengeuka haukai tena kwenye hoja kama zamani.
Jifunze kuusimamia ukweli na sio kuyumbishwa kwa minajili ya kutafata UDC au vyeo vingine.
Magidi alikuwa wa zamani enzi za Rai kabla ya kuuzwa.
 
Ndo udicteta huo wanao tuhumiwa nao, kwamba marufuku kukosolewa hadharani??.......kitu kidogo kimekuwa mis-handled namna hii, kwa makubwa itakuwaje?
Umemkaribisha wa nini kusema neno kanisani? Umempa heshima wewe mwenyewe. Iweje umseme hadharani? Je ile heshima uliyompa mara ya kwanza umeifuta?
 
Back
Top Bottom