BIF
Member
- Aug 2, 2012
- 47
- 10
Wana JF samahani kwa kuleta topic hii hapa,ila nahitaji msaada kwa yoyote aliekwisha fanya Interview kwenye hii tume ya ajira,Mimi nimeitwa kwenye Interview ambayo itafanyika tarehe 30 mwezi huu ivyo nahitaji kudokezwa mambo ambayo ni muhimu kuwa nayo na aina ya maswali ambayo wanapenda kuuliza kwa nafasi ya "COMPUTER OPERATOR"
Nahitaji mawazo yenu wakuu japo si mahali pake hapa.
Nahitaji mawazo yenu wakuu japo si mahali pake hapa.