Tafadhali soma hii inakuhusu wewe

Tafadhali soma hii inakuhusu wewe

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
118
Bint mmoja wa miaka 19 alipelekwa katika kanisa
moja kwa ajili ya kuombewa baada ya hali yake
kuwa mbaya sana.
Baada ya kuombewa sana akanza kueleza kuwa
yeye alikuwa na dawa ambayo aliitumia ili achukue
mafanikio ya kila mwanafamilia na kuwafunga
wasipate bahati za kufanikiwa katika kila
wafanyalo
zaidi ya yeye kuwa juu yao.
Baada ya kuuliza aliiweka wapi hiyo dawa, Yule
dada alikohoa na kutaapika kimfuko kidogo chenye
dwa na kusema kuwa ni hizo tu alizokuwa nazo.
Lakini baada ya maombi kuzidi dada Yule
alitaapika
vifuko sita tena vyenye dawa kama hizo kutoka
tumboni mwake.
Kuanzia hapo familia yake ikawa huru na kupata
mafanikio yote waliyoibiwa na shetani kwa miaka
kadha huku wakitaabika kwa taabu na shida.
Leo mabinti wote waliokuwa katika ile familia
wameolewa na wanamafanikio na ndoa zao zina
furaha na amani ya kutosha.
Nami leo kwa kila atakaye type AMEN namwombea
kwa Mungu awe huru na asidhurike kwa kila jambo
na wala asiibiwe mafanikio yake kwa nguvu za
giza
bali kwa kila jaribio hilo azidi kuwa na mafanikio
zaidi.
 
Hiyo Hadithi yako wapelekee watoto wa Chekechea
 
Watu wasiojua dini bana,tabu tupu,sa tutype ameni afu utubariki we Mungu? Ushindwe na uyeyuke
 
Bint mmoja wa miaka 19 alipelekwa katika kanisa
moja kwa ajili ya kuombewa baada ya hali yake
kuwa mbaya sana.
Baada ya kuombewa sana akanza kueleza kuwa
yeye alikuwa na dawa ambayo aliitumia ili achukue
mafanikio ya kila mwanafamilia na kuwafunga
wasipate bahati za kufanikiwa katika kila
wafanyalo
zaidi ya yeye kuwa juu yao.
Baada ya kuuliza aliiweka wapi hiyo dawa, Yule
dada alikohoa na kutaapika kimfuko kidogo chenye
dwa na kusema kuwa ni hizo tu alizokuwa nazo.
Lakini baada ya maombi kuzidi dada Yule
alitaapika
vifuko sita tena vyenye dawa kama hizo kutoka
tumboni mwake.
Kuanzia hapo familia yake ikawa huru na kupata
mafanikio yote waliyoibiwa na shetani kwa miaka
kadha huku wakitaabika kwa taabu na shida.
Leo mabinti wote waliokuwa katika ile familia
wameolewa na wanamafanikio na ndoa zao zina
furaha na amani ya kutosha.
Nami leo kwa kila atakaye type AMEN namwombea
kwa Mungu awe huru na asidhurike kwa kila jambo
na wala asiibiwe mafanikio yake kwa nguvu za
giza
bali kwa kila jaribio hilo azidi kuwa na
zaidi.[/QUOTE
 
Back
Top Bottom