Tafadhali soma hapa sasa hivi...

Tafadhali soma hapa sasa hivi...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Ndugu mwanaMMU,
Bw Tuko wa JF anayo heshima kubwa kukutakia heri na furaha ya Xmas na mwaka mpya wa 2013. Hakika nina furaha ya ajabu kuwa na rafiki kama wewe. Asante sana kwa ushirikiano ulioonyesha kwangu mwaka 2012, na naahidi utaendelea kuwa na nafasi ya heshima kabisa moyoni mwangu.
Aidha, naomba msamaha pale ambapo nilikupokukwaza kwa posts zangu au kwa namna nyingine, na naahidi nitajirekebisha na kuwa member mzuri zaidi wa MMU kwa mwaka mpya ujao, inshaalah.

:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
Thanx TUKO Mungu akubariki, nasi utusamehe kama nawe utakavyosamehewa na wale ulio wakosea.
 
Mungu awe nawe hadi tarehe 1,kwani mwaka haujaisha bado!,
 
Nimekimbia bado kidogo nivunje kucha...!!
Haya, sante!
 
Ndugu mwanaMMU,
Bw Tuko wa JF anayo heshima kubwa kukutakia heri na furaha ya Xmas na mwaka mpya wa 2013. Hakika nina furaha ya ajabu kuwa na rafiki kama wewe. Asante sana kwa ushirikiano ulioonyesha kwangu mwaka 2012, na naahidi utaendelea kuwa na nafasi ya heshima kabisa moyoni mwangu.
Aidha, naomba msamaha pale ambapo nilikupokukwaza kwa posts zangu au kwa namna nyingine, na naahidi nitajirekebisha na kuwa member mzuri zaidi wa MMU kwa mwaka mpya ujao, inshaalah.

:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
aksante ,na wewe pia.

Nimekimbia bado kidogo nivunje kucha...!!
Haya, sante!

khaaaaaa! na wewe ni umbea au nn!!!!!!!!!!?
 
Jinsia yko kwanza isije ikawa ni dume afu ukawa ushaonyesha malavidavi apo.
 
Back
Top Bottom